Graphic Designer Natafuta Kazi

Graphic Designer Natafuta Kazi

Robert Kiatu

New Member
Joined
May 27, 2015
Posts
2
Reaction score
2
Kwa mwenye uhitaji wa Graphic Designer, natafuta kazi:

Ninao uzoefu wa kutosha kwenye Designing na Printing katikaViwanda.

Ninauzoefu wa miaka kumi (10) katika Designing na Printing, nikitumia Programs za:-
Adobe Photoshop, Illustrator, InDesign, Coral Draw, Quick Express na Microsoft Office.

Ninauzoefu wa kutengeneza:
Vitabu, Magazines, Logo Design, Company Profiles, Banners, Posters, Flyers, Calendar, Business Cards, Brochure n.k

Kwa maelezozaidi napatikana:-
Dar es Salaam
0715 899495
rkiatu2@gmail.com
 
Unaweza digital marketing pia? Kama contents writer,SEO etc
 
Una uzoefu wa miaka kumi na bado huna mtaji na una tafuta kazi??? Inashangaza sana.
 
Una uzoefu wa miaka kumi na bado huna mtaji na una tafuta kazi??? Inashangaza sana.
Unafikiri mtaji ni nini?Ni nia ndio mtaji.Huyu bwana hajapata NIA.Ila kama kweli ana hizo skills tajwa hapo juu na anaamini katika uwezo wake basi nitamtafuta nimpe MTAJI.au KAZI ila awe mzuri kweli na sio mbabaishaji
 
Tunahitaji mwl wa IT na kazi za graphic, wasiliana nasi 0717157640
 
Back
Top Bottom