Robert Kiatu
New Member
- May 27, 2015
- 2
- 2
Ni kweli mkuu, lakini yahitaji mtajipiaKwa uzoefu ulionawo ukijiajiri itapendeza sana
Sent from my HUAWEI TIT-U02 using JamiiForums mobile app
Unafikiri mtaji ni nini?Ni nia ndio mtaji.Huyu bwana hajapata NIA.Ila kama kweli ana hizo skills tajwa hapo juu na anaamini katika uwezo wake basi nitamtafuta nimpe MTAJI.au KAZI ila awe mzuri kweli na sio mbabaishajiUna uzoefu wa miaka kumi na bado huna mtaji na una tafuta kazi??? Inashangaza sana.