wafia dini watasema ni mauaji ya wanawake na watotoMkuu wa Majeshi ya Israel amewaonya kwa mara nyingine tena magaidi wa Hamas kuwa Majeshi ya Israel yataongeza mbinyo kwa magaidi hao huko Gaza mpaka mateka inayowashikilia waachiwe huru.
Hayo yamejiri baada ya shambulio kubwa kuwasaka magaidi waliokuwa wamejificha kwenye nyumba moja huko Beit Lahiya na magaidi wote 27 waliokuwa wamejificha humo waliangamizwa bila huruma yoyote.
Sasa mbona international Kuna mengi au hiyo vita hapo Sudan huion. Miafrika banaAcha ujinga hili jukwaa ni INTERNATIONAL FORUMS unataka niwe mjinga kama wewe kwenye jukwaa hili niweke mambo ya nyumbani kwetu Kilwa?