Naomba niweke picha. Yaani wakati wachezaji wanaenda mbele mchezaji mwingine anazunguka kwenye axis yake kabisa tofauti na ya wachezaji wengine. View attachment 2860875
Multithreading
Hapo shida ipo kwenye game pia hata simu unayotumia inaweza husika,
Na oblique camera hapo angle 90° uwanja unaonekana umeinuka from left to right sizani kama camera za game Zina shaking move like real world environment.