Great Beach hotels and resorts on the East African coast

Great Beach hotels and resorts on the East African coast

Livale

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2016
Posts
739
Reaction score
588
Hii si Zanzibar vs Mombasa lakini ninajua itakua hata niseme nini. Kwa hivyo ichoboy01, fursa yako ii hii hapa.

English point marina - Mombasa

englishpoint-marina-hotel.jpg


500x500_a.jpg


english-point-marina6.jpg



Baraza resort Zanzibar

Zanzibar-Baraza-Resort-and-Spa-Swimming-Pool-Main.jpg


27026517.jpg


Baraza%20Bar%20Terrace.tif[IMG]
 
mada anazopenda ichoboy..atahama kule kwa nai vs dar ashinde na kukesha hapa akitaka shindana...ila diani inajisaidia sana
Diani si mchezo, they've really utilized their 10km long pristine beach.

Southern palms resort - Diani

6ca1cca3-c4a1-3c67-a7aa-a24c87ba2f11


southernpalmsbeachresort1.jpg


southernpalmsbeachresort2.jpg
 
Zanzibar kuna beaches nzuri sana,


Ila Mombasa kuna watamu beaches naomba mwenye pics anikumbushe, i loved the place, iko bomba
 
Ngoja nikae hapa nione watu wanavyojisifia kwa mali ambazo sio zao na wala hawapati chochote
Wanapata, kuna watu wameajiriwa hapa, na pia hizi hotels na lodges na resorts hulipa kodi serikalini ambayo huongeza pato serikalini ambalo eventually hununua dawa hospitalini na pengine kusomesha wadogo zetu mashuleni na vyuoni.
Na pia Mimi sijawahi fika Mombasa , what if nikijua hizo Resorts za Huko, isn't not Good?
Again hii ni sehemu nzuri kutangaza utalii wa ndani na nje,
Japo siamini kama hulifahamu hili.
 
Kwa zanzibar pekee kenya haiwezi kumfikia maana ni level nyingine hotel za gari nyingi ila inaendana na hela unayolipia tofauti na kenya unatozwa hela nyingi hotel ya kawaida halafu hazina mvutio wa kiafrica ni pure western.
 
Kwa zanzibar pekee kenya haiwezi kumfikia maana ni level nyingine hotel za gari nyingi ila inaendana na hela unayolipia tofauti na kenya unatozwa hela nyingi hotel ya kawaida halafu hazina mvutio wa kiafrica ni pure western.
Yallaaaah kwani Kenya bado ni koloni???[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom