Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amekita kambi huko utadhani amepandwa lol!!!mada anazopenda ichoboy..atahama kule kwa nai vs dar ashinde na kukesha hapa akitaka shindana...ila diani inajisaidia sana
Diani cjui Diana yuko mombasa au?Diani si mchezo, they've really utilized their 10km long pristine beach.
Southern palms resort - Diani
![]()
![]()
![]()
Wanapata, kuna watu wameajiriwa hapa, na pia hizi hotels na lodges na resorts hulipa kodi serikalini ambayo huongeza pato serikalini ambalo eventually hununua dawa hospitalini na pengine kusomesha wadogo zetu mashuleni na vyuoni.Ngoja nikae hapa nione watu wanavyojisifia kwa mali ambazo sio zao na wala hawapati chochote
Yallaaaah kwani Kenya bado ni koloni???[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Kwa zanzibar pekee kenya haiwezi kumfikia maana ni level nyingine hotel za gari nyingi ila inaendana na hela unayolipia tofauti na kenya unatozwa hela nyingi hotel ya kawaida halafu hazina mvutio wa kiafrica ni pure western.