Great Leap Forward 1958-62: Vita ya mwanadamu dhidi ya viumbe ilioua watu Million 50

dah inamaana comrade mao zedong hakufika hata kidato cha kwanza akajifunza biolojia ya kitabuni.
nilichojifunza viongozi wengi wanaoimba wimbo wa ujamaa wanapoingia madarakani wanakuwa madictator vilaza.
wataalamu wa nchi ya china walipofanya utafiti waligundua tumboni mwa hao sparrow waliona zaidi mabaki ya wadudu kuliko nafaka.
kuuawa kwa sparrow kulichangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa wadudu
si unajua paka akiondoka panya hutawala.

sijui nini hutokezea pale panapokosekana uwiano kati ya predator na prey.
hahahahaaa unamuondoa sparrow halafu wakati huo huo unambakisha loctus (panzi)
ila nasikia baadae alibadilisha kampeni na kuamua kuwasaka mbu, mende, panya ila cha ajabu lilipotolewa tangazo la msako panya wote walishafanywa kitoweo na wachina
natania tu
ila kuna kuna mwandishi mmoja wa kichina anaitwa Yang Jisheng kupitia kitabu chake alisema idadi ya waliofariki walikuwa ni 36 millioni ndipo serikali ya china wakakipiga marufuku kitabu chake.
 

ubarikiwe sana mpendwa
ujumbe mzuri sana.
hakika nimejifunza kitu
 
Kuna somo nzuri kubwa hapa la kujifunza,watawala kuwa waoga kwa mkuu wao kusema ukweli mpaka kuleta majanga makubwa,mawazo mbadala kutokuheshmiwa,chuki isiyonamana kwa kundi fulani(sparow na hao wadudu) bila kujali athari yao kutoweka ktk jamii.kuna kujifunza hili kwetu hapa sparow wetu leo amekuwa wapinzani bila kujali umuhimu wao ktk jamii.ipo siku tutawatafuta hao sparow (wapinzani) kwa garama kubwa sna km hao wachna na sparow kwao
 
.
Mwanadamu ni kiumbe mbinasfi sana. Anaona yeye ndie mwenye haki ya kuishi pekee.
Ila mimi kinachonisikitisha zaidi huku kwetu ndio tunataka kuiiga china ili tuwe na maendeleo. Ajabu zaidi chama kile ndio tunachojenga nacho ushirika!!! Ngoja tuone itakavyokua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…