Great Leap Forward 1958-62: Vita ya mwanadamu dhidi ya viumbe ilioua watu Million 50

Great Leap Forward 1958-62: Vita ya mwanadamu dhidi ya viumbe ilioua watu Million 50

Cc Kalamu1 is this the pre-capitalist China you're praising?
Ipi mkuu, huenda habari uliyotaka kuiwasilisha niione haikutokea.

Lakini yote kwa yote, naomba tuachane na kung'ang'ania hizi 'dogma' za vitabuni juu ya capitalism/socialism ipi iko juu ya nyingine.
Jambo muhimu ni mabadiliko wanayoyapata wananchi katika nchi husika kwa mchanganyiko wa njia zozote zinazoleta mabadiliko hayo.
Uamini wangu ni kwamba hakuna mfumo pekee unaohusika kuleta maendeleo ya watu katika nchi yoyote ile.

Kuna wengine wanakwenda mbali zaidi na kusema ni lazima pawepo na Demokrasia, wengine wanasema uDikteta ndiyo njia rahisi, yote haya ni mitizamo tu!
 
Ipi mkuu, huenda habari uliyotaka kuiwasilisha niione haikutokea.
Nilikutag Kwa huu Uzi wangu wa nyuma kidogo kuonyesha how mismanaged China was under chairman Mao na failure ya sera hii iliyopelekea mabadiliko makubwa ikiwemo liberalism na soko huria.
 
Nature protect it self, and is more powerful, when you do things that can harm it, the reverse is that you will end up harm yourself
 
Back
Top Bottom