zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
- Thread starter
-
- #41
Ipi mkuu, huenda habari uliyotaka kuiwasilisha niione haikutokea.Cc Kalamu1 is this the pre-capitalist China you're praising?
Nilikutag Kwa huu Uzi wangu wa nyuma kidogo kuonyesha how mismanaged China was under chairman Mao na failure ya sera hii iliyopelekea mabadiliko makubwa ikiwemo liberalism na soko huria.Ipi mkuu, huenda habari uliyotaka kuiwasilisha niione haikutokea.