#COVID19 Great news! Officially the Covid 19 vaccines have been annulled.Court case lost! Share!

#COVID19 Great news! Officially the Covid 19 vaccines have been annulled.Court case lost! Share!

I
anshuman ni binadamu ambaye amebadilishwa DNA yake.Realistically sio binadamu tena,kwa kuwa hana the "Original Genome" ambayo Mungu aliikusudia.The "Original DNA" ya Mwanadamu ina similarity na ya Mungu.Inaamika kuwa the "inner chaos" we see in humanity, is because humans are not human anymore, but transhuman,na hii imeletwa na vitu kama Chanjo,sio Covid-19 jab tu,lakini hata Conventional Vaccines.
Inner chaos ilikuwepo tu kabla hata chanjo hazijaja
Naomba u-note carefully nilicho sema.In other words nimesema hivi,"inner chaos hailetwi na the Covid Jab tu,ila hata Conventional Vaccines na sumu zingine.Hata hivyo Senator Robert F.Kennedy walicho prove pia ni kwamba Covid Vaccines ni Bioweapons.
 
Chanjo ni kwa faida yako sio ya serikali pekee. Tatizo la watu siku hizi wanataka serikali iwe kama mzazi wako! Watu wamepoteza ndugu na jamaa kwasababu ya kutukuchanja. Nashukuru nilipata Corona lakini nilikuwa nimechanja kwasababu hiyo sijaumwa sana
Yaan mbongo Mmoja tu ujifanye hapa 🤣🤣🤣
 
Naomba u-note carefully nilicho sema.In other words nimesema hivi,"inner chaos hailetwi na the Covid Jab tu,ila hata Conventional Vaccines na sumu zingine.Hata hivyo Senator Robert F.Kennedy walicho prove pia ni kwamba Covid Vaccines ni Bioweapons.
Inner chaos kwa binaadam haikuanza kipindi Cha chanjo,ipo miaka na miaka
 
Ndiyo maana walisema idungwe at mgonjwa's risk
Why at mgonjwas' risk,wakati serikali ina wajibu wa kulinda watu wake?Sasa serikali kazi yake nini?Na ni ajabu kwamba bado watu wanachanjwa.Sasa kama si roho mbaya hii ni nini.Yaani unatumia ujinga wa mtu kumuumiza na kujineemesha? Huu ni ushetani na aibu sana.
 
I was sceptical about this so called vaccine and refused it. Thank God this disease is vanished
 
Robert kennedy naye ni Mental case kama republican wengi walivyo. Juzi kati alikuwa anajaribu kufanya stand up comedy!!. Kuwa senator hakufanyi mtu kutokuwa mwehu.
Ume-comment kijinga sana aisee,no substance presented kabisa,duh.Yaani ni kama umewekewa Flash Memory!Tafuta taarifa mkuu,soma utoke kwenye lindi la ujinga ulilo nalo..

Sikiliza mkuu,dunia hii inatawaliwa na Lucifer,so most of what you see,hear,touch,smell and taste is fake.This means that usipo-tafuta taarifa sahihi wewe mwenyewe,watakuumiza au kuku-ua kabisa.Kumbuka kwamba knowledge is power.
 
Robert kennedy naye ni Mental case kama republican wengi walivyo. Juzi kati alikuwa anajaribu kufanya stand up comedy!!. Kuwa senator hakufanyi mtu kutokuwa mwehu.
Kufanya stand up comedy ni kuwa mwehu, mnaishi kwenye cage kma ndege nyie
 
It is unlikely kama wanafuatilia hasa ukizingatia hatari ya jab zenyewe.Nadhani itakuwa ni kujiumbua tu.

Katika mazingira ya kazi, nmekutana na Wanaume wanne wa umri Kati ya 35--50.

Hawa Jamaa Kila Mmoja analalamika Mkono alopigwa shot ,kua na ganzi , kuhisi sindano zinamchoma choma, Kuhisi motoo au ubaridii, nahata kupoteza Uwezo wa kufanya kazi wa huo mkono.!!.

Haraka haraka Huwa najua ni hii shida kitaalam inaitwa Guillain barre syndrome , hili ni tatizo linalokea pale ambapo Kinga yako ya mwili inaanza kushambulia Mishipa ya Fahamu.
 
Chanjo ni kwa faida yako sio ya serikali pekee. Tatizo la watu siku hizi wanataka serikali iwe kama mzazi wako! Watu wamepoteza ndugu na jamaa kwasababu ya kutukuchanja. Nashukuru nilipata Corona lakini nilikuwa nimechanja kwasababu hiyo sijaumwa sana
Soma hapo juu ili ujue wewe ni mjinga kiasi gani
 
MSHUKURUNI SANA HAYATI JPM.

Mbwa nyie !!!
Mbwa kwa nini tena mkuu?Kwa sababu aliwatoa Watanzania kwenye lindi la ujinga au?This comment has so much to be desired.Yasni ni kama unawaumie Watanzania meno hivii,kwamba ninyiii,kama asingekuwa Magufuli tungewamaliza.
 
Usinipe ngonjera hapa.This is the usual Fauci, Bill Gates and Big Pharma nonsense,I am above that.Wenye Chanjo zao wameshindwa kuzitetea,wewe ni nani hata uzitetee.Kwanza una uhakika gani kwamba hata hiyo Covid yenye ipo,the truth is haipo.Acheni umbumbu,mnakubali kila ujinga mnaoambiwa.Huu ni mpanga mahususi wa kuwaua,amkeni.The truth is, the Covid hoax and con has crumbled,but after causing enormous damage and mayhem to the unsuspecting masses.
Na sisi tuliochanjwa vaccine ya Johnson &Johnson pia na sisi tumekuwa TRANS-HUMAN?
 
Na sisi tuliochanjwa vaccine ya Johnson &Johnson pia na sisi tumekuwa TRANS-HUMAN?
Yes. Ni kwambo jabs zote za Covid "basically" zina-fanana na for an intelligent mind, this was obvious from the beginning.

Lastly mkuu watu wote sio wajinga(I am referring to your name Wajingawatu),kama wewe umjinga ni wewe!
 
So President Magufuri was right, kila aliyembishia magufuri na kusema yule mzee hana akili kukinga taifa na uvamizi huu wa kinyuklia kupitia chanjo, ajipige kifuani mara tatu na aseme "MIMI NI MJINGA KWA KUMPINGA MHESHIMIWA HAYATI RAIS JOHN JOSEPH POMBE MAGUFURI".

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom