#COVID19 Great news! Officially the Covid 19 vaccines have been annulled.Court case lost! Share!

Naomba u-note carefully nilicho sema.In other words nimesema hivi,"inner chaos hailetwi na the Covid Jab tu,ila hata Conventional Vaccines na sumu zingine.Hata hivyo Senator Robert F.Kennedy walicho prove pia ni kwamba Covid Vaccines ni Bioweapons.
 
Yaan mbongo Mmoja tu ujifanye hapa 🤣🤣🤣
 
Naomba u-note carefully nilicho sema.In other words nimesema hivi,"inner chaos hailetwi na the Covid Jab tu,ila hata Conventional Vaccines na sumu zingine.Hata hivyo Senator Robert F.Kennedy walicho prove pia ni kwamba Covid Vaccines ni Bioweapons.
Inner chaos kwa binaadam haikuanza kipindi Cha chanjo,ipo miaka na miaka
 
Ndiyo maana walisema idungwe at mgonjwa's risk
Why at mgonjwas' risk,wakati serikali ina wajibu wa kulinda watu wake?Sasa serikali kazi yake nini?Na ni ajabu kwamba bado watu wanachanjwa.Sasa kama si roho mbaya hii ni nini.Yaani unatumia ujinga wa mtu kumuumiza na kujineemesha? Huu ni ushetani na aibu sana.
 
Je Serikali yetu bado inaendelea kufanya ufatiliaji Kwa wale ambao iliwachanja?.
 
I was sceptical about this so called vaccine and refused it. Thank God this disease is vanished
 
Robert kennedy naye ni Mental case kama republican wengi walivyo. Juzi kati alikuwa anajaribu kufanya stand up comedy!!. Kuwa senator hakufanyi mtu kutokuwa mwehu.
Ume-comment kijinga sana aisee,no substance presented kabisa,duh.Yaani ni kama umewekewa Flash Memory!Tafuta taarifa mkuu,soma utoke kwenye lindi la ujinga ulilo nalo..

Sikiliza mkuu,dunia hii inatawaliwa na Lucifer,so most of what you see,hear,touch,smell and taste is fake.This means that usipo-tafuta taarifa sahihi wewe mwenyewe,watakuumiza au kuku-ua kabisa.Kumbuka kwamba knowledge is power.
 
Robert kennedy naye ni Mental case kama republican wengi walivyo. Juzi kati alikuwa anajaribu kufanya stand up comedy!!. Kuwa senator hakufanyi mtu kutokuwa mwehu.
Kufanya stand up comedy ni kuwa mwehu, mnaishi kwenye cage kma ndege nyie
 
It is unlikely kama wanafuatilia hasa ukizingatia hatari ya jab zenyewe.Nadhani itakuwa ni kujiumbua tu.

Katika mazingira ya kazi, nmekutana na Wanaume wanne wa umri Kati ya 35--50.

Hawa Jamaa Kila Mmoja analalamika Mkono alopigwa shot ,kua na ganzi , kuhisi sindano zinamchoma choma, Kuhisi motoo au ubaridii, nahata kupoteza Uwezo wa kufanya kazi wa huo mkono.!!.


Haraka haraka Huwa najua ni hii shida kitaalam inaitwa Guillain barre syndrome , hili ni tatizo linalokea pale ambapo Kinga yako ya mwili inaanza kushambulia Mishipa ya Fahamu.
 
Soma hapo juu ili ujue wewe ni mjinga kiasi gani
 
MSHUKURUNI SANA HAYATI JPM.


Mbwa nyie !!!
Mbwa kwa nini tena mkuu?Kwa sababu aliwatoa Watanzania kwenye lindi la ujinga au?This comment has so much to be desired.Yasni ni kama unawaumie Watanzania meno hivii,kwamba ninyiii,kama asingekuwa Magufuli tungewamaliza.
 
Na sisi tuliochanjwa vaccine ya Johnson &Johnson pia na sisi tumekuwa TRANS-HUMAN?
 
Na sisi tuliochanjwa vaccine ya Johnson &Johnson pia na sisi tumekuwa TRANS-HUMAN?
Yes. Ni kwambo jabs zote za Covid "basically" zina-fanana na for an intelligent mind, this was obvious from the beginning.

Lastly mkuu watu wote sio wajinga(I am referring to your name Wajingawatu),kama wewe umjinga ni wewe!
 
So President Magufuri was right, kila aliyembishia magufuri na kusema yule mzee hana akili kukinga taifa na uvamizi huu wa kinyuklia kupitia chanjo, ajipige kifuani mara tatu na aseme "MIMI NI MJINGA KWA KUMPINGA MHESHIMIWA HAYATI RAIS JOHN JOSEPH POMBE MAGUFURI".

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…