#COVID19 Great news! Officially the Covid 19 vaccines have been annulled.Court case lost! Share!

Achana nae huyo, hilo ndio lile kundi la wapumbavu ambao hata uwaonyeshe kila ushahidi wao wanakazania ni kupinga maana akili yake ipo on lock mode kwenye kuamini mzungu zaidi kuliko ukweli. Achana nae mpuuzi sana huyo.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cheki jinga hili. Unaambiwa hizo chanjo zina matatizo na ndio maana kuna watu walizipinga, tazama upuuzi ulioandika.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Fauci, bill gates na genge la wapumbavu wenzao ni lazima wawajibishwe na kuadhibiwa wapumbavu wakubwa hawa.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 

Hiyo source ni sawa na gazeti la ijumaa
 
COVID ni biashara
 
Na lazima haya mambo yatokee maana mwili umeshaona hili jinga halina faida ngoja nitumie kinga nilitokomeze ili lisijekuzaa na kuleta watoto wajinga kama lenyewe.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 

Thank God!
 
Debate ya chanjo haiwezi isha sababu kubwa ni kwamba hata covid 19 yenyewe haieleweki chanzo chake
 
Hiyo source ni sawa na gazeti la ijumaa
Usitegemee kuiona habari hii MSM,kwa kuwa MSM ni vyombo vya habari vya NWO ambao ndio wenye conspiracy ya Covid vaccines.Infact watajaribu kutumia kila mbinu ili taarifa hii Wanadamu wasiipate.

Nadhani wewe umechanjaa,so hili ni bomu kwako.But do you seriously believed Covid was real and the jabs were real vaccines?You couldn't be more foolish mkuu.Pole sana.
 
Wewe sio mental case tu, ni kichwa panzi kwa sababu kuogopa kwako chanjo kumekufanya uwe unaokota kila takataka ya anti-vaxxers na fake news kama hii iliyosambaa mwaka 2021 ili ujisikie vizuri na kukenua meno inaposambaa zaidi kwa kundi la watu wa aina yako.

Hakuna sheria yoyote iliyowahi kutungwa na bunge la Marekani au Executive order ya Rais wa Marekani ya Universal Vaccination.

Mahakama kuu ya Marekani haijawahi kupelekewa shauri au kuamua kesi yeyote inayohusu Universal Vaccination, huwezi kuleta link yoyote kuhusu hilo jambo wala rejea yoyote ya kesi kama hiyo kuonyesha hata ni majaji gani na wangapi walikubaliana na wangapi walipinga.
 
Debate ya chanjo haiwezi isha sababu kubwa ni kwamba hata covid 19 yenyewe haieleweki chanzo chake
Kwa watu ambao hawaja buy the MSM narrative of Covid-19 mkuu,the source of Covid-19 is clear.It is a result of air pollution.The air we breathe is a concoction of viruses and bacteria enormously altered by gain of function research.The C-19 scare mongering was designed to make people comply with the C-19 jabs,which were the real agenda.The vaccines have been proved beyond reasonable doubt to be bioweapons.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…