anhaa kumbeUnaweza ukamtaja mwenzio kama ****** kumbe member wengine wanakuona wewe ndo ******.
duh kweli Huyu ni bonge la kilazaK I L A ZA wangu wa JF ni Heaven on Earth, na sababu ni hii hapa
View attachment 426606
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
😱😀😀😀😀😀😀😀Aache ungese, kwanini anatumia avatar yangu?
Shabasssh! Maaamaeeeee
Huyu yeezus no mchokozi ila ntadili naye..sasa mzee jonax sijaelewa.. avator unaiita yako una hati miliki ya hio Avator? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ngoja niitoe mzee naona umemaindi kichiziHuyu yeezus no mchokozi ila ntadili naye..
Nyambafuuu
ah ah ah ah.. kuweni kama sunche na kapeto tu mmalize utata, majina tofauti ila sura vile vileHuyu yeezus no mchokozi ila ntadili naye..
Nyambafuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ah ah ah ah.. kuweni kama sunche na kapeto tu mmalize utata, majina tofauti ila sura vile vile
Naomba uache kutumia avatar yangu kabla sijakulogamzee na matusi tena?
Ndo hvyo, damu itaruka..ngoja niitoe mzee naona umemaindi kichizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unatishia kujamba wakati unaharishaNdo hvyo, damu itaruka..
Wewe endelea kumtumia T.I wako huku usipime kabisa
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Swali;ah ah ah ah.. kuweni kama sunche na kapeto tu mmalize utata, majina tofauti ila sura vile vile
kaka naona tumetofautiana, ningekua mimi ningesema kumbe kuna watu wananikubali humu JF mpaka wanaiba Avatar, ila mpaka leo sijaona mtu anaetaka kuwa kifaru [emoji23] [emoji23] [emoji23]Swali;
Ni kwnini atumie avatar yangu, maana hilo neno CITY BOY mimi ndo niliyeli-creat
Kwanini huyu jamaa wa Muhas ananichokoza?
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Jamaa ana kasirika kisa avatar ,ni mtu wa ajabu sana huyukaka naona tumetofautiana, ningekua mimi ningesema kumbe kuna watu wananikubali humu JF mpaka wanaiba Avatar, ila mpaka leo sijaona mtu anaetaka kuwa kifaru [emoji23] [emoji23] [emoji23]
huyu mkiwa mnacheza mechi hachelewi kukuvua bukta kisa inafanana na yake.Jamaa ana kasirika kisa avatar ,ni mtu wa ajabu sana huyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huyu mkiwa mnacheza mechi hachelewi kukuvua bukta kisa inafanana na yake.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] mbavu zanguK I L A ZA wangu wa JF ni Heaven on Earth, na sababu ni hii hapa
View attachment 426606
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
Ok, nmekuachia hiyo avatarJamaa ana kasirika kisa avatar ,ni mtu wa ajabu sana huyu
ha ha ha mkuu ngoja niitoe bhana nilikuwa nakuzingua tuOk, nmekuachia hiyo avatar
[emoji120] all de best