Great thinker na killazzaaa wa JF

Great thinker na killazzaaa wa JF

Unaweza ukamtaja mwenzio kama kilaza kumbe member wengine wanakuona wewe ndo kilaza.
 
Ndo hvyo, damu itaruka..
Wewe endelea kumtumia T.I wako huku usipime kabisa
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unatishia kujamba wakati unaharisha
 
ah ah ah ah.. kuweni kama sunche na kapeto tu mmalize utata, majina tofauti ila sura vile vile
Swali;
Ni kwnini atumie avatar yangu, maana hilo neno CITY BOY mimi ndo niliyeli-creat
Kwanini huyu jamaa wa Muhas ananichokoza?
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Swali;
Ni kwnini atumie avatar yangu, maana hilo neno CITY BOY mimi ndo niliyeli-creat
Kwanini huyu jamaa wa Muhas ananichokoza?
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
kaka naona tumetofautiana, ningekua mimi ningesema kumbe kuna watu wananikubali humu JF mpaka wanaiba Avatar, ila mpaka leo sijaona mtu anaetaka kuwa kifaru [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kaka naona tumetofautiana, ningekua mimi ningesema kumbe kuna watu wananikubali humu JF mpaka wanaiba Avatar, ila mpaka leo sijaona mtu anaetaka kuwa kifaru [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa ana kasirika kisa avatar ,ni mtu wa ajabu sana huyu
 
Back
Top Bottom