Great thinker na killazzaaa wa JF

ha ha ha mkuu ngoja niitoe bhana nilikuwa nakuzingua tu
[emoji2] wejamaani mchokozi kinomana na una bahati kuwa nmeshapigwa ban sana hvyo naogopa kupigwa tena, la sivyo nmgekufurumushia matusi mpk huu mwaa uishe
 
Huku vilaza wengi kuliko great thinkers.
 
We mwenyewe unadhani upo kundi gani? na kwa nini?
 

Huyu mimi ndio kilazaa wangu. Hasa kwa comment hii.

Anaitwa ICHANA.
 
we hujajitaja kama great thinker inamaanisha na ww ni kilaza tena nanga haaaaaa
 
Sijatajwa kwenye kundi la Great thinker wala kundi la vilaz. Nitakuwa nipo katikati naning'inia[emoji1] [emoji1] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…