Great thinker na killazzaaa wa JF

Great thinker na killazzaaa wa JF

ha ha ha mkuu ngoja niitoe bhana nilikuwa nakuzingua tu
[emoji2] wejamaani mchokozi kinomana na una bahati kuwa nmeshapigwa ban sana hvyo naogopa kupigwa tena, la sivyo nmgekufurumushia matusi mpk huu mwaa uishe
 
Huku vilaza wengi kuliko great thinkers.
 
We mwenyewe unadhani upo kundi gani? na kwa nini?
 
Nakushaur uwe shoga ha ha ha in jokes voice

Akili za kuambiwa changanya na zako wewe

Fikir ndani ya nafsi yako Una ndoto gani kitu gani waweza kufanya ukiwa nA amani ..model lazima uwe creative je unaweza Hilo.usifanye kitu kisa marafiki wamesema fanya kwa kuwa umeamua wewe mwenyew

Huyu mimi ndio kilazaa wangu. Hasa kwa comment hii.

Anaitwa ICHANA.
 
Wakuu leo tutaje great thinkers na villazer wa JF ili kwa wale great thinkers waendelee kutema nondo na wale villazer wabadilike

Hapa unatakiwa kutaja great thinker mmoja na killazer mmoja

Kwa upande wangu great thinker wangu ni HR 666 killazer wangu kuna member anajiita mzurimie


**moderator tafadhari usiufute uzi huu sina nia mbaya**
we hujajitaja kama great thinker inamaanisha na ww ni kilaza tena nanga haaaaaa
 
Sijatajwa kwenye kundi la Great thinker wala kundi la vilaz. Nitakuwa nipo katikati naning'inia[emoji1] [emoji1] [emoji23]
 
Back
Top Bottom