Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Wakuu leo tutaje great thinkers na villazer wa JF ili kwa wale great thinkers waendelee kutema nondo na wale villazer wabadilike
Hapa unatakiwa kutaja great thinker mmoja na killazer mmoja
Kwa upande wangu great thinker wangu ni HR 666 killazer wangu kuna member anajiita mzurimie
**moderator tafadhari usiufute uzi huu sina nia mbaya**