Bashite huyuMAGAZIJUTO
FROM 6÷2(1+2)
Anza na mabano
6÷2(3)
Then fungua hayo mabano
2(3) = 2x3 = 6
So tutapata
6÷6=1
Jibu ni 1.
Hapo unagawanya 6 kwa 2 ukipata jibu unazidisha kwa 3 ya mabano sasa hiyo yako ni ya gwakilaMAGAZIJUTO
FROM 6÷2(1+2)
Anza na mabano
6÷2(3)
Then fungua hayo mabano
2(3) = 2x3 = 6
So tutapata
6÷6=1
Jibu ni 1.
Kajiamulia mambo kweli huyo ni zundeNani kakuambia ufungue Mabano Mkuu...!!
Mbona unajiamulia mambo...?
Mkuu sijaelewa umesimamia upande upi?kweli huu ugonjwa wa taifa
jibu halisi ni hili
heko.jibu ni 7 (MAGAZIJUTO)
Jibu ni 9.Jibu ni 6.
weka njia mkuu, naona umepata majibu mawili, lipi ni jawabu?Jibu ni 9.
Tumia;
MA = MAbano
GA = GAwanya
ZI = ZIdisha
JU = JUmlisha
TO = TOa
Jibu lake ni 9
Jiheshimu mzee,, bashite inakujaje hapa? au unajiona unajua sana? io hesabu jibu lake ni moja,,Bashite huyu
Kilaza
Hahahahahahaha
Mbona ujiheshim mzee, gwakila inakujje hapa?Hapo unagawanya 6 kwa 2 ukipata jibu unazidisha kwa 3 ya mabano sasa hiyo yako ni ya gwakila
N io ndio njia sahihi , ambay jib lake inakuja 1Fungua mabano, zidisha mwisho gawa
Mwanz nilijua haupo serious,, hesabu ni kanuni bro, io kanun y magazijuto means unaanz n mabano mpaka yaishe ndo unahamia kitu kingine ndio maana nimefungua mpaka mwishoNani kakuambia ufungue Mabano Mkuu...!!
Mbona unajiamulia mambo...?
upande wako mkuuMkuu sijaelewa umesimamia upande upi?