Great Thinkers hawezi shindwa swali hili hivyo thibitisha uwepo wako JF, toa jibu

Great Thinkers hawezi shindwa swali hili hivyo thibitisha uwepo wako JF, toa jibu

MAGAZIJUTO

FROM 6÷2(1+2)

Anza na mabano

6÷2(3)

Then fungua hayo mabano
2(3) = 2x3 = 6

So tutapata

6÷6=1

Jibu ni 1.
Hapo unagawanya 6 kwa 2 ukipata jibu unazidisha kwa 3 ya mabano sasa hiyo yako ni ya gwakila
 
Bashite huyu
Kilaza
Hahahahahahaha
Jiheshimu mzee,, bashite inakujaje hapa? au unajiona unajua sana? io hesabu jibu lake ni moja,,

Kanuni ya magazijuto ndio inatupa jibu moja sasa sijui nyie mmefanya kwa kanuni ipi
 
Hapo unagawanya 6 kwa 2 ukipata jibu unazidisha kwa 3 ya mabano sasa hiyo yako ni ya gwakila
Mbona ujiheshim mzee, gwakila inakujje hapa?

Wewe hesabu umesoma? unapoongelea

Magazijuto, means unaanza na kimoja kikiisha ndo unaenda kingine

Ma - mabano
Ga- gawanya
Zi- zidisha
Ju- jumlisha
To- toa

ngoja tuende jino kwa jino, sasa na wewe kilaza unaanza Ga afu ndio unakuja Ma, hizo akili au pumba?

Magazijuto means unamaliza kucalculate mabano yote adi ibaki namba moja isiyoua ndani ya mabano
 
Nani kakuambia ufungue Mabano Mkuu...!!
Mbona unajiamulia mambo...?
Mwanz nilijua haupo serious,, hesabu ni kanuni bro, io kanun y magazijuto means unaanz n mabano mpaka yaishe ndo unahamia kitu kingine ndio maana nimefungua mpaka mwisho

Maana from magazijuto, uwezi ukaruka ma uje ga halafu urudi tena ma,,, hio kitu haipo
 
Back
Top Bottom