Wakuu mnashindwa nini hesabu ndogo kabisa hio
tokea MAGAZIJUTO
Anza na MA > Mabano
Kutoka 6÷2(1+3)=?
Tukifata kanuni ya magazijuto
1 step itakua
6÷2(3)=?
Wengi wanachanganya hapa kwa kuanza kugawa 6 na 2 hayo ni makosa kwa sababu kutoka kweye kanuni bado kuna Mabano (3) lazima tuyaondoe ndo tuende kwenye gawanya, urahisi wa hesabu ni kucheza na kanuni,
Uwezi rukia kwenye gawanya halafu ndio uje ufungue mabano, hapo utakua umeingia cha kike, maana tuna limitiwa na kanuni inayotaka tuanze na mabano
Ko tukifuata kanuni
Step two
6÷2(3)=?
(just imagine kua hii hesabu haiusiani na ile ya juu tulioanza nayo hadi kufika hapa)
Fata tena kanuni ya magazijuto kwa kuanza na ma > mabano
Itakua
6÷2(3)=? ua tena mabano
6÷(2x3) =?
Ukiua mabano utapata
6÷6=? baada ya kumalizana na ma (mabano) nenda sasa kwenye ga (gawanya)
6÷6= 1
Note: huwezi ruka ma uje gawanya halafu urudi tena ma, hio itakua ni siasa maana hesabu haipo hivyo