waitara juniour
Member
- Oct 4, 2017
- 20
- 8
The answer is 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikishaonaga namba namba uwaga kichwa kinaaza niuma ghafla. Acha nipite
Vp tena jamani nimeweka ukweli tu.Wee jamaa wewe, kiboko
Vp tena jamani nimeweka ukweli tu.
Umekosea jibu ni 9MAGAZIJUTO
FROM 6÷2(1+2)
Anza na mabano
6÷2(3)
Then fungua hayo mabano
2(3) = 2x3 = 6
So tutapata
6÷6=1
Jibu ni 1.
Hakuna kitu kama hicho kwenye hesabu mkuu, kanubi ushaiweka hapo magazijuto,, means tunaanza na mabano una deal nayo mpaka ibaki digit ambayo haina mabanoUmekosea jibu ni 9
Hapo 6÷2(3) unarefer BODMAS (MAGAZIJUTO) . unaanza kudivide na sio multiply
so 6÷2(3)=3×3
9 Ans
Kumbuka hio multiply ni kwa sababu ya mabano, lzm tuue hayo mabano , kumalizana na ma ya kwanza kwenye magazijuto, baada ya hapo ndo unafata kitu kingine ambacho ni gawanya ,gaUmekosea jibu ni 9
Hapo 6÷2(3) unarefer BODMAS (MAGAZIJUTO) . unaanza kudivide na sio multiply
so 6÷2(3)=3×3
9 Ans