Greatest Aviation Mystery

Greatest Aviation Mystery

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
846
Reaction score
521
Habari zenu wanajamvi! Natumai mnaendelea salama na majukumu yenu.

Jana ilikua ni siku ya kukumbukwa kwa kile kinachodhaniwa ni siri kubwa ya mambo ya Anga kutokana na kupotea kwa ndege ya shirika la Malaysia mnamo tarehe 8/03/2014 hadi leo hii hakuna muafaka uliopatikana hiyo ndege ilipotelea wapi na kwann.

Nimeangalia documentary series nyingi za kuhusu kupotea kwa hiyo ndege ya shirika la Malaysia lakini hakuna conclusion ya ukweli kuhusu hiyo Mystery. Imenifanya nimemkumbuka gwiji wa Uandishi huku jamiiforum Mr @HabibuAnga huwa namuona twitter kwa uchache tofauti na huku.

Nafikiri kuna wadadisi wengi huku ambao hupitia huko "Dark webs" wanaweza kuwa na taarifa walau kwa uchache kuhusu hiyo ndege ya MH370 Air Malaysia.

Nakaribisha michango ya mada kuhusu "The Greatest Aviation Mystery"

20230309_162500.jpg
 
View attachment 2543243
Duh
 
Back
Top Bottom