joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Inaonekana unajua zaidi kuliko Uhuru Kenyatta, kwanini msiandamane mkamuondoa madarakani?, kwasababu anaidhalilisha Kenya kwa kusema kwamba Kenya haijitoshekezi kwa chakula mnategemea Uganda na Tanzania, huyu rais ni hovyo kabisasasa lini umesikia kenya madukani hamna vyakula..naona mnajichanganya tu...km ni wa turkana na zile county zngine...90% ya hao watu wote ni wafugaji...na wao pia wanaishi mwiituni na wala si wa kulima...hawatulii mahali moja...wengi wao hawajihusishi na biashara ya aina yyote ile na hutegemea matunda ya mwituni...so hapo ukame unapokuja huaga hauwaachi salama...
so serikali na hao jamaa itabidi wabadilike..watafute jinsi watajihusisha na mambo yao na hku wakijishughulisha na hata km ni biashara au ukulima...
juzi nimeona katika habari turkana kuna baadhi ya watu wameanza kujihusisha na kilimo..hilo jambo limenifurahisha...