GREATWALL GARDENS: Ngong Road units to be tallest residential property in City!

Inaonekana unajua zaidi kuliko Uhuru Kenyatta, kwanini msiandamane mkamuondoa madarakani?, kwasababu anaidhalilisha Kenya kwa kusema kwamba Kenya haijitoshekezi kwa chakula mnategemea Uganda na Tanzania, huyu rais ni hovyo kabisa
 
serikali yenu lazima ifanye namna ya kuwabadili hao ,hata TZ Kuna watu hawalimi lakin vyakula ni vingi kuliko Kenya ,kilimo ndio kila kitu
 
A skyscraper is a continuously habitable high-rise building that has over 40 floors[1] and is taller than approximately 150 m (492 ft)
That Turkana thing was dealt with. Hii story ya highrise ni another ministry ya kusolve housing issues
 
Rudini mkalime,Hamna chakula nyie ni masikini tu wakuone huruma
Udanganyika ulikuingia kabisa my brother? Your sanity went to the dogs losing your self esteem along the way. What happened?
 
Why are you derailing the thread? Topic for discussion ni Ujenzi!Ukitaka tujadili mambo na njaa fungua uzi mwingine tutachangia!!
Please gentlemen, sober up!
 
nimefikiria ni serika ya tanzania ndio inafanya miradi kumaliza uswazi houses..kumbe sauzi...
Hatuna slums sisi, kumbuka Tanzania inaongoza Africa katika economic inclusiveness, tunagawana kwa uwiano mzuri rasilimali za taifa letu, haiwezikani wengine waishi Kibera ambako hata mbwa wa wanaoishi Karen hawezi kulala
 
Inaonekana unajua zaidi kuliko Uhuru Kenyatta, kwanini msiandamane mkamuondoa madarakani?, kwasababu anaidhalilisha Kenya kwa kusema kwamba Kenya haijitoshekezi kwa chakula mnategemea Uganda na Tanzania, huyu rais ni hovyo kabisa
hhhh..eti watu waandamane wamtoe madarakani...uuhuru hayuko kw denial kaka...sio km hilo jiwe lenu la msingi...kila kuchao ni misingi tu na hamna lolote...bwahahaaa...
 
Hatuna slums sisi, kumbuka Tanzania inaongoza Africa katika economic inclusiveness, tunagawana kwa uwiano mzuri rasilimali za taifa letu, haiwezikani wengine waishi Kibera ambako hata mbwa wa wanaoishi Karen hawezi kulala
sasa unataka kuzlilinganisha hzo na zile za soweto...

anyway...usitoke kw mada...nlikuwa nafikiria ni tanzania ndio wameamua kuzitokomeza hzo dream houses za dar..eti ecomomic inclusiveness wakati 70% ya jiji lenu ni uswazi mtu....bwahahaaa..nikuulize...hzo nyumba ndio za middle class wa kwenu...
 
lakini mbona unazungumza lisilo kweli!
 
Kama solo LA korosho ndio mmeshindwa kupata ya mahindi ndio mtapata?
Nchi zilizoendelea wana uhakika wa chakula,Ni Kenya tu ndio hutegemea kununua chakula Tz,Mexico na nchi zingine...wewe usiwe kama huna akili kichwani...Limeni yetu tutatafuta masoko pengine mnakwama wapi Kwan
 
Si Kila mtu hula ugali,
Binafsi nilikuwa last more than 2month ago,
KunA Maisha nje ya ugali,
Maendeleo ikifanyika Kwa jirani learn to appreciate,si kuleta tutopics twa ujinga ili mjifurahishe
 
Why do all Bongolalas think like goats
 
Si Kila mtu hula ugali,
Binafsi nilikuwa last more than 2month ago,
KunA Maisha nje ya ugali,
Maendeleo ikifanyika Kwa jirani learn to appreciate,si kuleta tutopics twa ujinga ili mjifurahishe
Corns Cook more than ugali, githeri your national dish is from it, keep proving my point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…