Green Banana Needed In Turkey(100-TONES Every Month) To be Exported From Tanzania

J Mbungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
269
Reaction score
74
Green banana needed in turkey(1oo-tones everymonth) will start with contract for 1year)
Wapendwa Wanaboard wenzangu..Kuna fursa ya biashara ya Ndizi mbichi kwenda Turkey na Afghanistani..Kwa kuanzia tujadili na kufahamishane ni namna gani tunaweza kufanya hii biashara.. Nina Kampuni imeniapproach.. Wanataka kusupply Ndizi Mbichi(Green Bananas) Kutoka Tanzania Kwenda Uturuki kwa njia ya Majini(Kwa kutumia Bandari ya Dar Es Salaam na Mersin(Uturuki)..

Kwanza ningependa kujua uwezekano wa kufanya hii biashara..Je inawezekana? Tunaweza kuzi fanyia Packaging namna gani zikafika zikiwa mbichi? Je kuna meli maalum au macontainer ya baridi(Freezer/Cold Rooms ambazo zinaweza kutumika?

Kwa mtu ambaye yupo serious naomba tusaidiane information na Kama... it is real feasible?..

Kokotoa gharama za packaging and transporting up to Mersin harbour Turkey..Then tuone Kilo moja inaweza kuuzwa bei gani..

NOTE: Ikiwa deal hii inakaa sawa na upatikanaji wa Ndizi nzuri zenye UBORA upo...Na kwa Bei itakayo kubalika kwa mununuzi...Tutafanya mkataba kabisa na hii Kampuni kwa kuanzia ya mwaka mmoja..Na kila mwezi tuwe na uwezo wa ku EXPORT TANI 100..! Mwenye anafikiri tunaweza kufanya kitu ani- PM kwenye INBOX na details..​
 
Watu mbona wameuchuna au hili deal liko heavy duty? Lol
 
Tuchekiane basi tujue twafanyaje ok

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Meli za contena zipo kama maersk na CMA jules ni meli zinazikuja ukanda wa kwetu na ndizi zitafika kama zilizopakiwa dar mzigo hauwezi haribika so ni PM kwa kucheki twafanyaje

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kuna aina nyingi za ndizi, fanya utafiti wa aina tufanye business manake kuna ndizi nyingine huwezi kusafirisha hadi dar zikiwa fresh. Kutokana na aina ya ndizi kama zipo morogoro au mosh/ ar/bk/mbeya tunaweza kuzifuata huko tukapaki then tukasafirisha kwn malori yenye body za baridi to dar then kwn meli. hii kito inahtaji mtu uwe very sharp logistically. Ni PM tuongee
 
mi nipo wilaya ya Rungwe kunakopatikana ndizi half of tanzania na nibora kwa bei nafuu..kunanamna ambayo huwa naona wanapakia wale wanaopeleka msumbiji na nchi za jirani,lakini kwa ughaibuni kunamakotena yanayoweza kufnya kaz hyo.ila ni ndizi gani?malindi,kamban,uganda,doni,mshale,toki au mkono wa tembo?
 
Green banana needed in turkey(1oo-tones everymonth) will start with contract for 1year)
Wapendwa Wanaboard wenzangu..Kuna fursa ya biashara ya Ndizi mbichi kwenda Turkey na Afghanistani..Kwa kuanzia tujadili na kufahamishane ni namna gani tunaweza kufanya hii biashara.. Nina Kampuni imeniapproach.. Wanataka kusupply Ndizi Mbichi(Green Bananas) Kutoka Tanzania Kwenda Uturuki kwa njia ya Majini(Kwa kutumia Bandari ya Dar Es Salaam na Mersin(Uturuki)..

Kwanza ningependa kujua uwezekano wa kufanya hii biashara..Je inawezekana? Tunaweza kuzi fanyia Packaging namna gani zikafika zikiwa mbichi? Je kuna meli maalum au macontainer ya baridi(Freezer/Cold Rooms ambazo zinaweza kutumika?

Kwa mtu ambaye yupo serious naomba tusaidiane information na Kama... it is real feasible?..

Kokotoa gharama za packaging and transporting up to Mersin harbour Turkey..Then tuone Kilo moja inaweza kuuzwa bei gani..

NOTE: Ikiwa deal hii inakaa sawa na upatikanaji wa Ndizi nzuri zenye UBORA upo...Na kwa Bei itakayo kubalika kwa mununuzi...Tutafanya mkataba kabisa na hii Kampuni kwa kuanzia ya mwaka mmoja..Na kila mwezi tuwe na uwezo wa ku EXPORT TANI 100..! Mwenye anafikiri tunaweza kufanya kitu ani- PM kwenye INBOX na details..​

Mkuu INBOX me ukifika level ya logistics, i do transport ya road, (kutoka source ya mzigo, kwenda port) halafu nafanya sea freight, (container kutoka dar port, kwenda mersin turkey) ziko refrigirated containers. Kwa details zaidi nicheki on 0784808080 tujue tunafanyaje.

M
 
Mimi niko arusha na uhakika wa upatikanaji wa ndizi toka meru upo, pia kuna fuso zinazotoka arusha kila siku na huwa zinasafirisha mizigo kwenda dar kwa bei nafuu zijulikanazo kwa jina la backtown. nicheki kwa namba hizi tuweze kufanya biashara. 0713035942
 
Back
Top Bottom