Green card lottery ni Umanamba mamboleo


[emoji23][emoji23][emoji23] sema ww jamaa unachuki binafsi na huna details zzte za ulaya kbsa
 
Duuh! najua nimekukwaza, lakini ukweli ni lazima usemwe wote ili watu wapone.
 
Hawa watu wana tatizo kubwa kwenye fikra zao, hawawezi kukuelewa.......wana mitazamo ya kike zaidi, maana mwanaume halisi hawezi tu kiboyaboya kusaliti asili yake au jamii yake kwa kuvutiwa na maisha kwenye jamii ya wanaume wengine, kifupi wako tayari kuolewa majuu kwa minajili ya kutorudi kwao.
 
Duuh! najua nimekukwaza, lakini ukweli ni lazima usemwe wote ili watu wapone.


kavulata said:
mimi nina akili nyingi balaa, passport yangu imejaa safari za kuja na kutoka Marekani, lakini sio kukaa na kulipa kodi huko kama zuzu, I proud of my homeland.

Kavuluta! Wewe unaweza kunikwaza! Mbona itakuwa kichekesho! Nashangaa unavyotema madini boya! Anyway leo hakuna mgao! Nakuona Genius na Critical thinker katika ubora wake!
 
Nyumisi, umekosa hoja.....basi tafakari hii...Huyo jamaa aliyeiandika ni genius namshauri aanze kutengeneza majarida, maybe your ideas ukichanganya na zake mnaweza kuokoa Taifa!

kavulata said:
mimi nina akili nyingi balaa, passport yangu imejaa safari za kuja na kutoka Marekani, lakini sio kukaa na kulipa kodi huko kama zuzu, I proud of my homeland.
 
Mkuu kimsingi hakuna tatizo kwa watu kuhamia nchi nyingine kutafuta fursa mbalimabali za kimaisha, kama nilivyotangulia kusema huko juu, nchi nyingi zilizoendelea zikiwemo za ulaya, canada, marekani, australia wakaazi wake wengi si watu wa asili kwenye hizo nchi. Mfano, Australia, watu wenye asili ya uingereza ambao ndo walianzisha hilo taifa kwa sasa wanakaribiana idadi na wahamiaji wengi wa kutoka nchi za Asia hasa China. Kwa nchi za EA, wakenya wapo wengi sana ughaibuni mara mia zaidi ya watanzania...........kwa hiyo sijui kwa nini hisia zimekuwa kali sana kwenye huu uzi.​
 

Hii ndio hoja yangu! Lakini kwa nduguyo Kavuluta yeye ni tofauti, nashangaa anavyokuwa illogical, irrational etc Kuja nje ni kukosa uzalendo! Wakati hao tunaowaita Wazelendo ambao wapo hapo hapo nchini, ndio leo mnawatuhumu kwa ufisadi! Hakuna mwenye Green card

Tuwewapa nafasi, tumekuja kutafuta ugenini, imekua kosa! Tunajaribu kuwaambia vijana ambao wamekosa fursa imekuwa tabu! Fursa zimenyimwa na hao hao mlio nao ndani! Kwa kifupi kabisa siwaelewi!

Ndugu yako Kaluvuta ameniita nimekimbia shida nk! Angelijua maisha yangu angeniita mtoto wa fisadi! Nimeogopa kutoa CV yangu angesema najimwambafy! Passport ya kwanza i ilijaa 2005! Sijui nimebadili Passport mara ngapi!

Baba yangu mzazi Mungu amuweke mahali pema peponi alianza kunipandisha ndege nikiwa na miaka kumi na mitatu, na kunipa broader perspective ya kuangalia maisha nje ya Tanzania! Mdogo wangu wa kike anaishi Nerthaland, wa kiume kasomeshwa Canada, Wakike mdogo kaishi Germany, watoto sita wote tumezunguka ulimwenguni. Hivyo najua nachofanya! Sina chochote cha uhaini! Nataka na wengine wajaribu! Imekua Nauza nchi!

Tunajaribu kuwasaidia Watanzania tu! Hatuna nia ovu hata kidogo! Lakini inaonekana hatueleweki!

Asante Mkuu!
 
Unachekesha! Nimeingia Marekani ilibidi Standard Charted Bank wanipe fomu ya ziada kwa nini natoa pesa hiyo Bank! Hivyi $ 10,000/ ni pesa kubwa sana! Anyway kweli kweli iko safari ndefu!

Mkuu maisha tumetofautiana! Na hapa US nina muda tu! Play hard Monday to Friday! Sunday/Saturday off
 
wewe fanyakazi huko kimyakimya bila kuikashifu tanzania na kushawishi vijana waasi nchi yao kizembe.

Sasa hii ni Kashfa! Iko kwenye International News"

WATER


Ground report: Tanzania’s sanitation battle is just half won​

Part 1: CSE team finds awareness campaign for toilets is not enough, correct designs are needed as well


NEXT BLOG ❯

By Swati Bhatia, Ravi K

Published: Thursday 03 November 2022


Tanzania’s sanitation glass is half full — most households in the country now have a toilet. The national campaign Nyumba Ni Choo (In Swahili, A house is incomplete without a toilet) is working effectively in creating awareness. But the battle is not won yet and it is yet to be seen if the county will reach sustainable development goals by 2030.

A non-profit Centre for Science and Environment team travelled to rural and peri-urban areas of Dar-Es-Salaam to see the implementation of the campaign. The team of researchers looked to find answers on what is next on managing faecal sludge from the new toilets and if there has been a reduction in water borne diseases.

The country has come a long way, said Anyitike Mwakitalima, the national coordinator for the sanitation campaign under the Ministry of Health.

The campaign aimed for behavioural change in communities and was launched with a budget of 15 million British Pound Sterling (GBP) from the United Kingdom’s Foreign, Commonwealth and Development Office.

The rural water team from the Ministry of Health successfully propagated the need for toilets and sanitation, Mwakitalima told CSE. T-shirts, diaries and brochures were distributed that echo the anthem Nyumba Ni Choo. There’s a dedicated website about the campaign as well that explains sanitation steps taken by the government.

The country has efficient policies at the central level, cited a report by CSE on Tanzania’s sanitation. The policies encourage decentralisation of power with more community participation and private sector involvement.

However, implementation of these policies on the ground is an issue, said Amour Seleman, a senior environmental health officer from the Ministry of Health. Another issue is funding. Improper allocation and utilisation of funds were pointed out by the CSE report as well.

The team found that most households have toilets that are being used. So, there should be a reduction in waterborne diseases.

The villages were visually clean, but diseases have been increasing since 2018, as per the data shared by the health centre at Bagamoyo District Council.


The campaign aimed for behavioural change in communities and was launched with a budget of 15 million British Pound Sterling (GBP) from the United Kingdom’s Foreign, Commonwealth and Development Office.

Sasa Kavulata, Hii ni report ya kuchimbiwa choo ( Nyumba ni Choo) ikifadhiliwa na hao unaowaita Mabeberu! Report iko wazi ni ya November/2/2022, Tunachimbiwa choo huku tuna miaka 60 toka tupate Uhuru! Na ni hapo Bagamoyo, maili chache kutoka ofisi ya Lumumba! na si mbali na ofisi yako kama hukuenda Dodoma!

inajua mambo haya yanaletwa na nani! Ni msomi kama wewe, kusoma ni kuja Karatasi kwa kuja Marekani! Hivyo Mkuu hata kwa akili zako kweli, unataka nirudi kusaidia kuchumba vyoo! Nikipata nafasi nitakupa Idadi za V8 Zilizoingia miaka miwili iliyopita!

Weekend Njema
 
Kuwa na green card ni kuukana uraia wako?

We punguani kweli.
Ukiwa na green card, bado unakuwa raia wa ulikotoka, ile ni visa sio pasi ya kusafiria ya nchi tofauti, ambayo ukiwa nayo basi si raia wa Tz.
 
Kama unajua Sheria za kifedha za kimataifa, kuanzia $10,000.00 ni laxima uzitolee maelezi. Chini ya hapo hata kwa $1, hawana biashara nawe.
 
Sasa siwewe unaiona ndogo,
Lakini 80% wale wanaenda semina pale njaa kali ndio maana hata muda wanapata kubahatisha fursa.
 
Yaani kwao wao ni Heri kuwa mbwa Ulaya kuliko kuwa binadamu Africa, usikute wameshaolewa huko, you never know
 
Nilitaka kuonyesha kuwa tuna uwezo wa kuja na kuondoka hapo bila kushawishika kuzamia kabisa huko, tumeishi huko hata social security number yangu bado ninayo, account bado ninayo lakini home is best
 
Nilitaka kuonyesha kuwa tuna uwezo wa kuja na kuondoka hapo bila kushawishika kuzamia kabisa huko, tumeishi huko hata social security number yangu bado ninayo, account bado ninayo lakini home is best
Kwani mwenye Greencard hana uwezo wa kukaa Marekani na kuja Tanzania na kuondoka? Je unajua with American Passport naweza kufanya hivyo? Kwangu mimi kila mahali ni best mradi mambo yangu yanaenda! With my American Passport imeongeza wigo wangu mkubwa wa kwenda, kukaa napotaka! Hata kuja kujenga kijijini kwako!

Nimekuambia mara elfu, sikushawika na mtu kuja Marekani! Na simshawiti yoyote kama anaona mipango yake inafanikiwa Tanzania kuja US.

Nawaonyesha options tu kwa wale ambao wanaona milango yao imefungwa Tanzania! Sijui kwa nini hunielewi!
 
Nilitaka kuonyesha kuwa tuna uwezo wa kuja na kuondoka hapo bila kushawishika kuzamia kabisa huko, tumeishi huko hata social security number yangu bado ninayo, account bado ninayo lakini home is best
Kavulata, hata wewe unajua home is not best kama hakuna provision ya basic needs and security! Waulize waliotoka kwenye nyumba ambayo baba ni child molester, oppresser and not a provider.
Huta penda kukaa hapo!

Maisha yangu kama Mwanadamu ni mafupi mno! Ningependa ni maximize my potential, and enjoy every minute of my existence! Marekani to a large extent ina deliver nachotaka!
Nilifanikiwa Tanzania, niliweza kufika ambapo wengi hawataweza kufika! I was not among the list of who is who in Tanzania, lakini katika maisha yalikuwa murua!
Kuja Marekani ulikuwa ni utashi wangu binafsi! Sikuja ili niukate au nitoboe! Nilikuja kuishi! Na napenda wenye mtazamo wa spirit of adventure kama mimi wajararibu!
Inawezekana moyoni ni mzalendo kuliko hata hao walioko nyumbani wanajiita Wazalendo, lakini ni kujinufaisha wao!
 
Kama mnaweza kuweka mbinu za kufika USA wekeni. Nitakuwa wa kwanza kuisaliti hii nchi
Mkuu kuja Marekani sio kusaliti nchi, achana na vipofu wasiojua kitu! Wasaliti mnao hapo hapo!

Ndio maana kila mara,Ngorongoro imeuzwa! Mara Twiga na Tausi wamepelekwa sijui Oman! Mara Richmond, Mara pesa za EPA! Mara mabehewa ya makinika! Mlolongo kibao!
Je hao wametoka Marekani! Je wana Greencard!? Mnapishana nao wakiwa ndani ya viyoyozi na V8! Mnasalitiwa mchana kweupe!
Tengeneza maisha yako jamaa yangu! Iwe bongo au popote pale!
 
Pumbav ni wewe unayekubali kushikishwa ukuta kwa kupenda mtelezo........si ajabu mtu kama wewe uko tayari kuolewa na mzungu ili uendelee kukaa ulaya, au watu wa dizaini yako ndo walio tayari kuwa mbwa ulaya........kosa vyote usiwe maskini wa fikra.
Kuna watz wengi wanaishi South Africa,Botswana,Malawi ect hao nao ni watumwa?mbona mnawasakana warz wanaoishi USA tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…