Muccigang
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 1,313
- 1,918
Kichwani ni fikra za kitumwa, unafikiria kuwa wazungu walianza kwa magorofa marefu kama ya pale Chicago, Hebu niambie namna ushoga ulivyoanza hapo. Niambie ni watu wangapi wanashindwa kwenda gym kwa kukosa fedha
Nina wasiwasi wewe nilishakuona pale Detroit kwenye majumba ya bei rahisi yaliyohamwa baada ya viwanda kufa na vingine kuhamishiwa Asia na wazungu wengi kukimbia. Mji mchafu na wenye vibaka wengi kama kwamtogole. Kaka acha kuwaamisha vijana kwamba Marekani hakuna maskini, hakuna wanaoshindwa kumsomesha mtoto wake, hakuna anashindwa gharama za matibabu, hakuna ombaomba, hakuna wanaolala kwenye magari yao au night club kwa kukosa nyumba, hakuna Malaya wa kutupwa wanaojiiza. Kaka unaharibu kuchora picha kubwa sana na mbao iliyopakwa dhahabu nje. Sio kweli vijana bakini nyumbani. Marekani ni kuzuri kwa kusoma TU na kurudi nyumbani kwakuwa Kuna shule nyingi zenye walimu wazuri.
[emoji23][emoji23][emoji23] sema ww jamaa unachuki binafsi na huna details zzte za ulaya kbsa