Nchi inajengwa kwa Kodi za wananchi, bila shaka nafanya hivyo hata kama nalipwa kidogo sana hapa kwetu. Nilikuwa nalipwa sana huko ng'ambo lakini huduma zangu na nguvu zangu walikuwa wanaonufaika nazo wazungu, na Kodi wanabaki nayo wazungu, ndio nikagundua kuwa nakosea.So wewe hapa tanzania sio mtumwa???
Kaka hii ni MORDEN SLAVERY! hata ujifarague namna gani, aina hii ya slavery haitafuti watu wenye nguvu tu za kufanyakazi, bali inazingatia ujuzi wa mtu bila kujali ana rangi gani na anatoka bara gani. Hata hivyo, lengo lao kuu ni kupata cheap mixed skills labor. Utabishana hadi kufa lakini huu nin umanamba (modern slavery).
Kwani kipindi uko huko ulizuiliwa kuwekeza nyumbani?? Au ndio nyie mlioendekeza kuruka viwanja mnakuja kukurupuka kurudi bongo uzeeni na kupapondea ng'ambo kumbe mliendekeza nyapu za kizungu.Nchi inajengwa kwa Kodi za wananchi, bila shaka nafanya hivyo hata kama nalipwa kidogo sana hapa kwetu. Nilikuwa nalipwa sana huko ng'ambo lakini huduma zangu na nguvu zangu walikuwa wanaonufaika nazo wazungu, na Kodi wanabaki nayo wazungu, ndio nikagundua kuwa nakosea.
Naishi vizuri mie, baada ya kutimiza malengo yangu huko nikarudi kusaidia na kuhudumia watu wa kwetu. Nilirudi kuwekeza kwetu na Kodi yangu inatumika kwetu. Nilikatwa pesa zangu huko kwaajili ya Ile kitu inaitwa social security, lakini vyote niliwaachia wazungu wale.Kwani kipindi uko huko ulizuiliwa kuwekeza nyumbani?? Au ndio nyie mlioendekeza kuruka viwanja mnakuja kukurupuka kurudi bongo uzeeni na kupapondea ng'ambo kumbe mliendekeza nyapu za kizungu.
Sijui huelewi kitu gani hapo baba yangu!! Afrika imefanywa kuwa maskini sana ili vijana wetu watamani Ile kitu inaitwa greener pastures (modern slavery). Vijana wetu wanageuzwa scavengers huko ughaibuni (blue color). Hawachagui kazi wanapofika huko.Na kuja kuletewa Condom.....Kuletewa Vyandalua kujikinga na Malaria....Kuletewa miradi ya kuchimbiwa vyoo vya shimo ili watoto wenu waende kunya.....ni nini hiyo......? Ni modern what....) Miaka 60 bado tunachimbiwa vyoo???
WATER
Ground report: Tanzania’s sanitation battle is just half won
Part 1: CSE team finds awareness campaign for toilets is not enough, correct designs are needed as we
Tanzania’s sanitation glass is half full — most households in the country now have a toilet. The national campaign Nyumba Ni Choo (In Swahili, A house is incomplete without a toilet) is working effectively in creating awareness. But the battle is not won yet and it is yet to be seen if the county will reach sustainable development goals by 2030.
A non-profit Centre for Science and Environment team travelled to rural and peri-urban areas of Dar-Es-Salaam to see the implementation of the campaign. The team of researchers looked to find answers on what is next on managing faecal sludge from the new toilets and if there has been a reduction in water borne diseases.
Read more: Will Africa meet its sanitation target?
The country has come a long way, said Anyitike Mwakitalima, the national coordinator for the sanitation campaign under the Ministry of Health.
The campaign aimed for behavioural change in communities and was launched with a budget of 15 million British Pound Sterling (GBP) from the United Kingdom’s Foreign, Commonwealth and Development Office.
The drive has achieved some results — 29.12 million Tanzanians have improved toilets and handwashing facilities. Open defecation has decreased from 7.2 per cent in 2017 to 1.3 per cent in 2022.
Mbona hukuzichumia bongo kama kweli wewe ni mzalendo..ukaamua kwenda kusukuma box ili uje uzeeke vizuri bongo..anyways acha kucomplain kwa vitu ambavyo huwezi kubadili maana hapohapo tanzania kuna neo colonialism..kuhusu nje ni akili yako mwenyewe I know people including me money work for us..sasa wewe ulisukuma box sana lakini ulikosa financial education na kujiongeza. That your bad american experience we are not in the same boat bruhNaishi vizuri mie, baada ya kutimiza malengo yangu huko nikarudi kusaidia na kuhudumia watu wa kwetu. Nilirudi kuwekeza kwetu na Kodi yangu inatumika kwetu. Nilikatwa pesa zangu huko kwaajili ya Ile kitu inaitwa social security, lakini vyote niliwaachia wazungu wale.
Hakuna ubaya wowote mtu kwenda kuchuma mali kokote kwa njia yoyote kwa lengo la kurudisha nyumbani, kuimarisha nyumbani, kuhudumia watu wenu nyumbani na kuendeleza nyumbani kama wanavyofanya wa Israel na mataifa mengine kama wahindi. Hii ni tofauti kabisa na vijana wetu kwakuwa hawa wa kwetu wanatukana nchi na bara lao kabisa.Mbona hukuzichumia bongo kama kweli wewe ni mzalendo..ukaamua kwenda kusukuma box ili uje uzeeke vizuri bongo..anyways acha kucomplain kwa vitu ambavyo huwezi kubadili maana hapohapo tanzania kuna neo colonialism..kuhusu nje ni akili yako mwenyewe I know people including me money work for us..sasa wewe ulisukuma box sana lakini ulikosa financial education na kujiongeza. That your bad american experience we are not in the same boat bruh
Sijui huelewi kitu gani hapo baba yangu!! Afrika imefanywa kuwa maskini sana ili vijana wetu watamani Ile kitu inaitwa greener pastures (modern slavery). Vijana wetu wanageuzwa scavengers huko ughaibuni (blue color). Hawachagui kazi wanapofika huko.
Weee jamaa wewe!! Unahitaji maombi. Wazungu hawana kitu Cha bure hata kimoya. Kwanini hawasaidii hao homeless na masikini waliojazana huko kwao? Ukweli ni kwamba Wazungu wanasomba madini, mbao, maliasili na rasilimali watu yetu kwenda kwao matani na matani. Huo unaosema ni msaada ya kuchimbiwa vyoo sio msaada bali ni Ile kitu inaitwa stick and carrot; kuuma na kupuliza kama panyabuku.Hujajibu swali langu......au unataka nifafanue.....Kuja Marekani ni umanamba....na Kuchimbiwa vyoo...Kupewa Condom...Vyandalua hiyo ni nini hiyo...Huna hata aibu kuchimbiwa choo ili mtoto wa mjomba wako anye huko kijijini kwako...Uko hapo hapo bongo...bado Bajeti zetu za kuendasha nchi kuna kipindi bila bakuli la mabeberu kuongezea tulikuwa hatuendi popote.
Kavulata Kaa kimya...Kama huwezi kuisadia serikali yako kuacha kutegemea misaada huwezi kabisa kuzuia utashi wa mtu kuendesha maisha yake...Kwenda anapotaka....Wewe uliona Marekani au Ughaibuni hukuweiz ukarudi nyumbanii....Wenzio tunakuweza....Tumekuwa raia wa hapa....Na hata serikali imeamua kutupatia utambulisho maalumu kuelekea uraia pacha.....!
Wewe ukitaka kwenda Mugumu....Ileje....Kyabakari....Ngudu......Muleba....Isevya......Malinyi....Igowole..... nenda tu....huo ndio wito wako katika Maisha......Hujamtendea Mola wako makosa yoyote....Wala hujaitendea Katiba ya Tanzania kosa lolote.....Kama vile tulioko ughaibuni.....Pilipili usiokula inakuwaishia nini hasa...?
Siku hizi hawafungi minyororo tena, ndio maana ya modern slavery (digital slavery). Unawekewa chambo na kuvuliwa kama samaki kwa ndoana. Samaki anaifuata ndoana mwenyewe kwa hiari yake kwasababu ya kukosa taarifa za uwepo wa ndoana katikati ya chakula alichotegewa. Wanachofanya ni kutengeneza mazingira sahihi ya kuhakikisha kuwa watumwa wanagombania VISA za kwenda utumwani bila kufungwa mnyororo.Kavulata: Unajua unachokisema au umekaririshwa? Niko Marekani, sikuja kwa kufungwa mnyororo,na hata nikitaka kuondoka hakuna kamba iliyonifunga.
Ushauri kila siku kwa vijana wa kitanzania, kama unaona opportunities zimebana Tanzania jaribu popote, nina mifano mingi mno, na nimeona kwa watu toka mataifa mbali mbali niliokutana nao US!
Ukiwa na focus, na documents halali na yote unayoyasikia kuhusu Marekani, ni mahali unaweza kufikisha ndoto zako, sisemi ni rahisi, lakini kuna nyenzo ambazo hupati katika nchi nyingi za Kiafrica.
Sijahonga au kumuona yoyote watoto wangu kupata mikopo ya vyuo vyao, sikuwa na connection zozote zile watoto wangu kupata white color jobs! In short mtoto wangu alikuwa recruited akiwa bado chuoni, na leo akiwa na miaka24 is making almost $ 85,000/ Wenzake aliowaacha bongo waliomaliza chuo wanasaka ajira!
Sasa sijui ni utumwa wa aina gani huo!
Ni kweli Marekani/ Canada zinataka nguvu kazi, lakini ukiingia huku ni juhudi zako na akili yako! Wengine wataenda juu, na wengine chini, sawasawa na wazawa! Anayenifyekea majani nyumbani kwangu ni mzungu! Maana sina muda! Na kila baada ya wiki mbili au tatu ananipigia simu kama yameota aje kufyeka! Na ameniambia ni fundi katika serikali yetu ya mtaa anatafuta pesa ya ziada! Hii ndio Marekani, simdharau najua anachotafuta!
Hivyo usikaririshwe na akina Lumumba.
Hulazimishwi ni akili yako tu! Wengine wanatumia hapo bongo wanatoka! Wengine mambo yanakataa! Maisha popote pale!
Weee jamaa wewe!! Unahitaji maombi. Wazungu hawana kitu Cha bure hata kimoya. Kwanini hawasaidii hao homeless na masikini waliojazana huko kwao? Ukweli ni kwamba Wazungu wanasomba madini, mbao, maliasili na rasilimali watu yetu kwenda kwao matani na matani. Huo unaosema ni msaada ya kuchimbiwa vyoo sio msaada bali ni Ile kitu inaitwa stick and carrot; kuuma na kupuliza kama panyabuku.
Kijana mtanzania anamuacha mjomba wake Hana choo Cha kujisaidia lakini ameenda Ulaya na Marekani kuchimbia wazungu vyoo.
Kwahiyo dawa kamili ya kupambana na kuchimbiwa vyoo ni vijana wao kuikimbia nchi Yao kwenda kuwa manamba?Kavulata....Kwa hiyo ni akili timamu ni kwamba wakisomba mbao....madini na raslimali nyingine wakulipe kwa kuchimbiwa choo na Condom.... na vyandalua ...na madawa ya kufabaza Ukimwi.....Nani hapo anahitaji maombi hasa......Akili ya Mwafrika iko nyuma Karne 100!
Nilikuambia mapema Babu yako yako na babu yangu walizidiwa kete mapema, waliporuhusu majahazi yapige nanga katika Bandari zetu miaka ya 1800.....Sijui ni miaka mingapi imepita bado tunazozana wapinge nanga tena kwa njia ya DP World? Kama mababu zetu walishindwa kuwazua sijui sisi kama tutaweza ....Kweli iko kazi.....!!
In short niko Marekani......Na wewe toa uamuzi mgumu.....Uwe upande wa Mwabukusi....au Serikali yetu tukufu.....Haya ya Marekani tuachie sisi.....Tulishachukua maamuzi magumu maishani mwetu.....na hatujutii.....Maisha mafupi Kavulata....angalia nini ni tija kwako!
Kwahiyo dawa kamili ya kupambana na kuchimbiwa vyoo ni vijana wao kuikimbia nchi Yao kwenda kuwa manamba?
Vijana wengi waombe green card na mlioko huko mfanye shavings baaab kubwa mje muwekeze Huku, hapa veep? Kula hot dog usiku na mchanaDawa kamili unaijuia...toa uamuzi mgumu.....Kavulata.....Ulitoa uamuzi mgumu kutoka Marekani kuja kuijenga Tanzania...! ....bado una safari....Ama Uwe upande wa Mwabukusi au la, Kuzuia tena wengine wasiingie tena hapo Bandarini kufanya yaliyofanyika 1800.....Ama sivyo mtaendelea tu kutoa Raslimali za nchi...Sijui baada ya kupewa Condom tutapewa nini wakati huu.....
Vijana wengi waombe green card na mlioko huko mfanye shavings baaab kubwa mje muwekeze Huku, hapa veep? Kula hot dog usiku na mchana
wale kuku wa Kroger usipime!!Thanks for your suggestions....Haijakaa vibaya kabisa....Vipi wewe...Utamuunga mkono Mwabukusi...au utasimama upande wa CHAMA chetu pendwa! Kuna kazi kweli kuizuia laana na unyonge wa Mababu zetu waliposhindwa kuzua majahazi kuweka Nanga katika Bandari zetu.....Umanamba bado upo ( Kwa mtazamo wako) Na unyonge tena mbaya zaidi (Wa kupewa Condom....msaada wa kuchimbiwa vyoo tusinye maporini) Bado upo....We are between the stone and the hard place!
For the first ime angalau umezungumza....Leo sili Hot Dog.....ni Chicken and fries.....with Ice cream....! Unikumbushe tu nikitoka kazini.....Hoja iko wapi sasa hivi....Hoja ya Mwakabusi itapita? Au Bandari watapewa kwa waliokuja na Majahazi 1800......!! Safari Hawatachukua manamba tena.....watakula sahani moja hapo hapo....!!! Watachukua 95% na 5% Itaenda Hazina kununua Ma V8......Huo uchungu wake ni afadhali niwe manamba ughaibuni....uchungu na malalamiko yangu ningefungiliwa kesi ya Treason....Maisha mafupi haya.....nataka kucheza na Wajukuu zangu...! Niko Off leo!
Ni utumwa uleule, tofauti ni kwamba Sasa hivi watumwa hawapewi chakula, malazi, mavazi wala kulipiwa gharama za taka, maji, umeme na matibabu, wanapewa fedha mkononi ili wajilipie wenyewe. Lakini Baada ya kupewa hela hizi huwa wanajibana na kula vitu vya hovyo ( jack foods), kulala sehemu za hovyo(cheap) na kuvaa midabwada ili kubakiza fedha hizo unazosema wanazipata.Huu uzi imebidi niusake niufufue baada ya kukutana na bwana mdogo mmoja hapa aliyekuja mwaka jana tu.
Kapiga hatua kwa kiasi chake anafanya kazi moja full time na anapiga side hustles kadhaa nikamuuliza ni kama zipi akaniambia ni delivery kampuni anazopiga nazo kazi ni 2 hadi sasa na anazidi kujitanua zaidi anafanya delivery kwa DoorDash na Uber Eats , nikamuuliza anavuta kiasi gani kwa saa mbili anazofanya ukipiga na mahesabu anayovuta kwa wiki ni almost $200-300 kwangu mimi hii ni kiasi kidogo ila kwa mtu anayekuja sio mbaya kwa kuanzia na kutokana na wigo mkubwa wa fursa kwa wakongwe haya mambo tulishaacha na kujitika kwenye project kubwa kubwa.
Ajabu ni kuwa kila siku nipitayo mahali lazima nitakuta kibao cha "we are hiring" tafsiri yake ni nini huku watu wanakutafuta upige kazi na lugha nyepesi tu ni kuwa fursa ni nje nje.
Sasa je kwa mtu anayesema ni umanamba nashangaa je huko umeme unaokata almost saa 12 na maji bado kizungumkuti , huduma ya afya bado pasua kichwa na viongozi wanapiga tu ziara na magari ya bei mbaya huu tuuiteje umanamba square?
Njoo tu kwenye coverage ya huduma muhimu ya afya kwa maana ya bima ya afya , US inakimbilia 92 % ila Tanzania bado iko na 32%.
Nawasilisha
Nimeenda nikiwa kijana na nimerudi nikiwa kijana, kwangu mimi Tanzania na watanzania ilikuwa kipaumbele changu. Nilipembelezwa kubaki lakini sikuwa na amani moyoni. Kwanini niwape tips wazungu badala ya kuwapa dada zangu Afrika? Nilipiga hesabu nyingi sana hadi nikagundua kuwa watanzania hawana nidhamu ya kazi na muda wakiwa Tanzania ndiyo maana wanakimbilia kwenda kuswagwa huko nchi za watu. Maana ukiwa Marekani kufanyakazi is all or none, na usipofanyakazi inavyopaswa huli, hulali na hutibiwi. Kula, kulala, kutibiwa na kulipa madeni uliyokopa ndiyo driving force (wheep) ya kumfanya kila mtu kule afanyekazi iliyotukuka la sivyo ana perish.Kwa hiyo, ina maana wewe mwenyewe umerudi?@kavulata
Je ulirudi ukiwa na umri gani?
Huoni pia uliuutumia ujana wako na nguvu yako yote huku US
Sasa umerudi ni kama mstaafu, kula matunda uliyochuma kule
Hivi huoni vijana wa hapa na elimu zao, wanahaingaika kupata kazi, na madaktari pia
Sasa hawa wakipata nafasi kwanini wasiende nje,
Maana hapa kwetu hakueleweki, ni kutiana hasira tu, na zaidi kama uliishi nje ya nchi, unakuwa unaona wazi kuwa kile serikali inachotakiwa kufanya haifanyi na ni wachache tu na familia zao ndio wanaonufaika?