kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #641
Wananchi wanataka mabadiliko, wanatafuta nafuu kwa mtu yeyote yule, wasipoyapata kwako watapindua tena na kuunga mkono aliyepindua. Bahati mbaya wapinduaji na hata wananchi hawajui kuwa tatizo lao liko nje ya nchi, mabeberu wamekaba njia zote za kupumulia. Ndio maana hata nchi zilizofanya mabadiliko ya watawala na vyama tawala kwa njia za kidemokrasia hawakupata nafuu yoyote pia. Yaani upindue au utumie kisanduku chakula kuleta uongozi mpya maisha ya watu yatabaki vilevile kama watu hawata address the actual problem (unyonyaji wa magharibi)Hata Mwezi haujafika unasema Traore ni different case.....ndugu yangu Kavulata sasa umeakuwa mnajimu? .....Kuna mapinduzi ambayo wananchi wamewahi kuwa kinyume na Wapinduaji.....?Hata Uganda kipindi cha Idi Amin wananchi walitoka na kushangilia...... Kumbuka watu walivyofurahia ujio wa Samueli Doe.....! Mengitsu Haile Mariam....au umesahau historia? Tafadhali tunza maneno yako......tena inawezekana kabisa hao hao wenzake ndio watakao mgeuka.....!Hao wanamapinduzi huwa wanakuja na maneno ya Kimapinduzi.....wape mwaka tu......! Nigeria wamepinduana mpaka wenyewe wakachoka.....
