Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Watu wa kanda ya kaskazini ndio wako after financial freedom zaidi kuliko hata usalama wao, ndugu, jamaa na hata taifa. Nonsense
Mkuu hawa watu wapo tayari kubaguliwa na kusimangwa bila kujali lolote kisa maisha bora, whites wanamwona mtu mweusi kama mtu duni, mwenye kubeba magonjwa, asiye muungwana wala mstaarabu, hata kama hawatakuonyesha kwa nje, ule ubaguzi upo kwa ndani. Wakati nilipokuwa huko masomoni nilihakikisha naishi eneo karibu na chuo ili niwe natembea kwa miguu nisipande mabasi yao, maana kwa ule ubaguzi ni kawaida kupitwa kwenye kituo sababu upo mweusi peke yako, au kususiwa siti ili usikaribiane na mzungu kwenye zile siti mbilimbili......kunga'ng'ania maisha bora katika mazingira ya kubaguliwa na kusimangwa wakati hujafukuzwa kwenu sioni kama ni akili, zaidi ya kuonekana kama ni utumwa wa kifikra zaidi.​
 
Kaka sisi Mimi, wewe na wengiñe humu tujisifu kwa kupiga vifua vyetu kwaajili ya kuwafundisha na kuwahabarisha watanzania wenzetu kile tunachokifahamu kuhusu greencard lottery na maisha ya wazungu ( the other side of the coin of greencard) kwakuwa tunayafahamu na tumeyapitia pia sisi wenyewe,

Faida za kuwa mkimbizi wa kisiasa, kiuchumi, kimazingira au kifikra ni chache sana kuliko hasara zake. Hata wayahudi walipata hasara kubwa sana kwa kuwa wakimbizi wa dunia nzima, waliteswa, walibaguliwa, walidharauliwa, walidhulumiwa, na hata kuawa kwa mamilioni hadi pale walipoamuua kurudi kwenye nchi Yao ya Israel. Kule Marekani Kuna watu wa rangi mbalimbali, lakini rangi duni Sana na isiyokubalika ni rangi yetu, hasa kutokana na historia Yao kwao kuwa walikuwa ni watumwa. Watoto wa kizungu wanapewa maagizo na mafundisho maalumu kuhusu waafrika, na hata sera ya kumiliki na kutembea na silaha kwa wazungu ni kwaajili ya kujikinda dhidi ya waafrika (watumwa), mzungu ameruhusiwa kumpiga risasi mzungu hata bila sababu Wala ushahidi wa kutosha.

Hata kwenye elimu weusi wanabaguliwa sana, elimu ya juu weusi ni wachache sana. Ukimuona mwanafunzi mweusi kwenye darasa la masters na PhD ujue ameletwa kwa scholarship fulani kutoka Africa lakini sio black Americans. Ni wachache sana na wengi wao hawakusoma sana, mara nyingi wanafanya donkey jobs kama vile jeshini, mashambani, kuimba, kucheza mpira wa kikapu na michezo mingine kama boxing, table tennis na riadha. Maisha Yao ni ya kuhangaika sana, binafsi namchukia mtu anaewashawishi vijana wetu waende wakatafute maisha ng'ambo ambako ni wachache TU ambao wanatoboa tena wenye elimu inayohitajika.
 
Mkuu hawa watu wapo tayari kubaguliwa na kusimangwa bila kujali lolote kisa maisha bora, whites wanamwona mtu mweusi kama mtu duni, mwenye kubeba magonjwa, asiye muungwana wala mstaarabu, hata kama hawatakuonyesha kwa nje, ule ubaguzi upo kwa ndani. Wakati nilipokuwa huko masomoni nilihakikisha naishi eneo karibu na chuo ili niwe natembea kwa miguu nisipande mabasi yao, maana kwa ule ubaguzi ni kawaida kupitwa kwenye kituo sababu upo mweusi peke yako, au kususiwa siti ili usikaribiane na mzungu kwenye zile siti mbilimbili......kunga'ng'ania maisha bora katika mazingira ya kubaguliwa na kusimangwa wakati hujafukuzwa kwenu sioni kama ni akili, zaidi ya kuonekana kama ni utumwa wa kifikra zaidi.​
Nyumisi ndugu yangu!

Kuna wakati unaandika sense, then one minute you like suffering a Bipolar! Kuna wakati unajieleza kama umefika US, then kuna upande inakuwa Una Marekani ya kwenye Media ambayo hujawahi hata kuikanyaga! Na hiyo inaweza kuwa si observation yangu, ni ya kila mtu anayesoma posts zenu!

Rais Mstaafu Kikwete anaweza kukumbukwa kwa wengi na kwa mengi, lakini kama kuna kitu amewachia Watanzania ni huu usemi;

" Akili za kuambiwa changanya na za kwako"

Sasa wewe na ndugu yako Kavulata mna akili narrow za kwenye media! Na narrow mindedness za sera za zamani za kijamaa, obsolete ambazo China na hata Urusi waliziacha, na imebakia Korea ya Kiduku tu!

1. Ubaguzi Marekani: Je unaweza kuniambia kwenye Constitution ya Marekani ambako kuna sheria iliyo wazi inayo ruhusu ubaguzi? Ubaguzi Marekani ni jambo linalotendwa na mtu binafsi, haliko backed up na sheria zozote za nchi! Watu wana argue kuhusu " Institution Racism" na hii hasa from African Americans perspective, ambalo nalo ni somo jingine kabisa, labda mfungue mada nyingine.

Nimewapa perspective yangu, lakini kwa vile mmeweka pamba masikioni, hamtaki kabisa kuelewa wala kusikia! Mlizoambiwa na waalimu na MEDIA mnazoziamini zimefunga kabisa uelewa wenu! Kwa hiyo hamtaki kabisa kusikia other side! Kwa hiyo hapa hatutakuja kuelewana, kwa nyie ambao mnadai ni wasomi Inasikitisha sana! Na kwa vile HATUTAFIKA POPOTE! WOTE TUTAONEKANA NI WAJINGA, MAANA HAKUNA KUELIMISHANA AU KUJIFUNZA KUTOKA PERSPECTIVE YA MWINGINE! HAINA HAJA KUZOZANA!

My personal experience kuhusu ubaguzi:

Nimekuja Marekani miaka 10 iliyopita, sijafanywiwa hata tone la ubaguzi! Nimenunua nyumba 90% Whites Neighborhood, Nimepeleka watoto wangu Private School 99% Whites, Hata siku moja watoto hawakuamka asubuhi na kugoma kwenda shule! Marafiki waliopata shuleni ( ambao karibu ni whites wametuunganisha hata wazazi) Na marafiki wa watoto wangu wamebakia baadhi mpaka College! Maana kuna baadhi ya hao watoto waki Marekani wameshindwa kumaliza university! Lakini mwanangu aliyeingia toka Tanzania kamaliza chuo! Na kapata ajira! Sina haja ya kurudia safari yake ya ajira.

Nimekamatwa na polisi barabarani, sio mara moja au mbili, na makosa yakiwa ni ya kwangu! Kuna Makosa nilisamehewa, hayakuingia kwenye records! Kuna Makosa nililipa faini, na hayapo kabisa. Sasa utanilizamisha niseme nini kuhusu ubaguzi?

Labda nikusaidie kuhusu ubaguzi, ni aina ya watu hapa na pale unaokutana na!, lakini huwezi kuifanyia kabisa generalization! Lakini nyie kama wasomi naona mmeweka akili zenu pembeni.Mmeamua kuamini mnachoamini!

Kama ambavyo ninyi mnabisha, hata huku wako wamarekani narrowmindness kama ninyi, ambao wanaamini, tunaishi chini ya miti! tunachinja zeruru! hakuna usalama kabisa! Hivyo huku nabishana na wamarekani ambao views wamepata kwenye Media na wataki kabisa kuongeza na za kwao! Lakini wazungu hawa nao bishana nao, wao hawajaenda shule! Wao hawajawahi toka Marekani! Nyie ndugu zangu mmetoka, balance views zenu!

Namalizia kwa kusema, kama kuna mtu anaona options za Tanzani kwake ngumu, Marekani bado ni sehemu unaweza kufanikiwa, imekuwa kwangu, na nimeona kwa wengi! Sijawa brainwashed na mtu yoyote! Sijuti, na bado nina options za kuondoka Marekani, kurudi nyumbani, au popote ulimwenguni, labda Iran na korea ya Kiduku! with my American Passport imenifanya truly a global citizen! Na kwa kifupi tu, yale ambayo sikuweza kuyafanikisha Tanzania, kuwepo kwangu Marekani kumenisadia!

Hivyo tukutane katika Mada nyingine, nawatakia heri kuijenga Tanzania! Waliosoma posts zenu, watasoma, na kuchanganya za kwao! Kuchukua maamuzi ambayo ni tija kwa wao binafsi na familia zao.

Adios! Your always welcome to visit Texas!
 
Tunakuja mkuu
 
Nakuunga mkono mkuu, hilo la ubaguzi nimechomekea kidogo lakini kwa experience yangu halikunitokea dhahiri.....labda kama ulivyosema kuna watu ambao ni asilimia kubwa tu ambao hawajawahi kutoka kwenye nchi zao kwenda maeneo tofauti kushuhudia uhalisia wa mambo ulivyo, zaidi ya kuhadithiwa au kusoma kwenye media. Sasa ukikutana na mzungu ambaye habari alizonazo kuhusu Afrika ni kwamba huko kuna magonjwa hatari kama Ebola na watu ni wagomvi wanapigana wenyewe kwa wenyewe akiogopa kukaa kwenye siti moja na wewe kwenye gari itakuwa ni kutokana na notion aliyo nayo kwa wakati huo kuhusu mtu mweusi, but with time akijifunza kuishi na watu weusi au akapata fursa ya kutembelea Afrika unakuta mtazamo wake unabadilika kabisa. Kwa hiyo nakubaliana na wewe kwenye kutofanya generalization kwenye hili na kwamba kwa sisi tulio na some experience na maisha ya huko, we should have some balanced views kwenye hili, isije kuonekana situation ni mbaya kihivyo kumbe kiuhalisia zinakuwa ni isolated cases.​
 
Tunakuja mkuu
Cassavalieves amekwambia akili za kuambiwa changanya na zako, kashamaliza mchezo hapo, Nirudie tena, Marekani na Ulaya ajira hakuna, yaani kazi za kuajiliwa haziko na wenyewe Wanalalamikia hilo, kazi zinazopatikana ni zile za hovyo ambazo wasua hawazipendi kwakuwa ama ni chafu au Zina malipo madogo hawazipendi. Yaani hapa tunaongelea kazi kama zile za kuhudumia vizee, kufagia barabara, kuuza vinywaji bar, kudeki na usafi mahotelini,, kuuza maduka, kuchuma apple na kwenye mabucha ya nguruwe, nk kazi kama hizi wazungu hawazipendi zinafanywa na wahamiaji kutoka Mexico, waafrika na mazoba wengine, michezo), Kama ukiwa na elimu na ujuzi unaweza kubahatika kuwa mwalimu, mhudumu wa afya, it nk, Vinginevyo ukatafute kitu Cha kujiajili mwenyewe kama sanaa (kuchora, kuimba (sanaa) na michezo. Vinginevyo lazima utajiingiza kwenye magenge ya wahalifu na uhalifu TU na unaweza kushindwa kurudi nyumbani hata kama utapenda kufanya hivyo. Yaani hakuna Cha Bure, hakuna matibabu ya Bure na hakuna dawa utaninua kwenye duka la dawa bila cheti Cha dk, labda Panadol na dawa za mafua TU (over the counters). Sio mchezo kule. Ubaguzi kwa weuzi upo mkubwa sana ndio maana unasikia kesi za weusi wanaouawa na polisi wazungu kila siku.

Ni madeni madeni madeni kila mtu anaishi kwa kukopa, ana madeni ya kila aina kila Kona.
 
Mengine na wewe unatupiga mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nikwambie tu, wewe huwezi kunifundisha maisha. Hizo kazi za unskilled ndio nazitaka kabisa. Kuhusu matibabu, hata bongo tu huwa siendi kwa doctor. Nilisoma topic ya disease form two, nafaham magonjwa mengi na dalili zake, so inapokuja swala la kuumwa sipati shida sana. Nazama duka la dawa tu.

Hizo kazi wasio zitaka wazungu( wazawa) zimetajirisha watu sana tu. Na mifano mingi tu ninayo kuhusu hilo.

We pambana tu mkuu na uwapambanie ndugu zako. Me najipambania mwenyewe, na nimeshaanza mchakato wa kufatilia namna nitaingia state kwa njia halali ili nikahudumie vikongwe, nizibue vyoo, nisafishe barabara n.k na sitaona shida maana hizo kazi hata huku zipo lakini hazilipi.

Kwa mawazo yako unadhani wewe na kikazi chako benki unaweza kumfikia mfagia barabara wa state?

Me nina ndugu zangu wanainvestments za hatari hapa bongo, pesa wanachuma alaya kwa kazi hizi unazoziona hazifai. Wamejenga majumba hata huko mkoani kwenu hayapo. Me pia lazima niende nikatafute huko ili nije nifanye makubwa bongo.

Nadhani umenielewa ndugu yangu kavulata
 
Mengine na wewe unatupiga mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Mzee, Mimi ni kati ya watu ambao pia nime harsal sana, nafahamu kuwa hakuna formula moja kwa maswali yote. Lakini maisha pia Yana does na donts zake, Yana kupanda na kushuka, Yana kupata na kukosa. Kusema Ile ukweli na mimi nimeishi huko kwa wazungu kwa muda mrefu kidogo, hivyo huwa sipendi kusikia mtu akiwapa vijana habari za upande mmoja wa Marekani na ulaya maisha ni mazuri sana. Napenda mtu awaambie ukweli ili wawe na informed choice pale wanapofikia kufanya uwamuzi. Nakasirika nikimsikia kijana mwenzangu akiwawadanganya vijana wenzake kuwa Marekani hakuna shida ya ajira, hakuna ombaomba, hakuna hohehahe, hakuna uhalifu, hakuna wanaoshindwa matibabu, hakuna wanaolala na njaa, hakuna ubaguzi hakuna balaa lolote ni Raha TU. Huyo nitamwandama hadi awaeleze ukweli vijana wenzake kuhusu maisha ya kule, the does and don't..
 
Kule ni kwenda kutafta mtaji alaf unarudi bongo kuwekeza , Ila kuenda kuishi kule ni uongo....!! Kule ukisota kazi za manamba mwaka mmoja Una uhakika wa kusave 20-50 million , pesa ndefu Sana Kwa hapa bongo , Kwa kuanzia biashara inayoeleweka ..tena pisi zote mjini zako
 
Hicho ndicho ninakitaja mm kwa vijana wetu wote, yaani they have to think globally but act locally. Ukiwa na tsh. 100m hapa bongo utafanya mengi sana, lakini tzs 100 m kule Marekani is nothing. Nauli ya daladala kituo hadi kituo ni dollar 3 sawa na tsh 8000 za hapa, soda ni dola 1 sawa na 2300 za hapa, kikombe Cha kawaha ni dola 2 hivi. Fanya kama vile unaenda migodini kujaribu bahati yako, ukipa Rudi ufanye mambo mengine sio mtu anajisifu kuwa nimebadilisha na uraia
 
Watu wa kanda ya kaskazini ndio wako after financial freedom zaidi kuliko hata usalama wao, ndugu, jamaa na hata taifa. Nonsense

Kavulata, naona sasa unaingiza harufu za Ukabila! Umeshindwa kabisa kuuza hoja zako, nadhani kila mtu anayesoma hoja zako, anaona zinasukumwa na chuki binafsi tu! Hatujaona kabisa uzalendo wako, sana sana umeonyesha ulimbukeni, na ushamba, sina haja ya kuzirudia nukuu zako tena, maana zinaleta ukakasi mno kuhusu elimu yako! Na hata huko kutembea kwako kumeshindwa kabisa kukusaidia kufikiri!

Na inasikitisha mno watu kama ninyi ndio mmejaa wizarani! Anyway kwa kukusaidia tu, mimi sijatoka Kanda ya Kaskazini! Ukoo wangu ni mchanganyiko hasa, a truly Tanzanian, nimechanganya makabila mpaka dini! (Ukristo na Uislamu) Na ndugu pande zote. Hii imenisadia kumwangalia mtu kama kama mtu, bila kujali kabila, lake, dini yake, na taifa lake, nilifunzwa ubaya wa "stereotyping mapema mno maishani, hivyo iliniezesha kufanya kazi Mashirika ya Kimataifa hata kabla ya kuamua kuishi Marekani, na kunikutanisha na watanzania ambao kwa miaka mingi wamekua wakifanya kazi nje ya nchi ya Tanzania katika mashirika kama Africare UNDP, FAO, UNICEF,DFID nk katika nafasi kubwa, na ilikuwa ikituumiza sana kuona idadi ya Watanzania ni ndogo mno, ukilinganisha na wenzetu kutoka Kenya, Ghana, Nigeria, Uganda, na kila mara tunapokutana ilikuwa tunafikia, tufanyeje kuwafanya Watanzania wajaribu kutafuta kazi za kimataifa, kwa faida zao binafsi na hata mbeleni kwa faida ya Tanzania. Maana wenzetu wa mataifa mengine walikuwa wakiletana na wanasaidiana.

Nimekuja Marekani nikiwa na Financial Freedom kubwa ambayo labda kwa sasa wewe unajaribu kufikia kwa Per Diem za serikalini! Nimekulia, Upanga, Oysterbay, Masaki! Hiyo ndiyo Dar es Salaam yangu, kwa mbeleko ya wazazi wangu ambao walikuwa na broader perspective ya maisha, urithi mkubwa walioniachia, ambao najivunia! na mimi pia kuishia kutengeneza makazi yangu na biashara zangu sehemu hizo hizo Dar es Saam.

Nikiwa na miaka ya 30 to 35 tayari nilikuwa nime achieve vitu vingi ambavyo mamilioni ya Watanzania watakwenda kaburini hawata weza kupata, maana najua maisha ya vijijini kwa undani! Vijiji ambavyo bado wengi wanaona gari inapoleta mitihani ya darasa la saba, au padri anapokuja kusalisha misa baada ya ya muda mrefu, au wanapoletewa Masanduku ya kupiga kura kila baada mika mitano mitano, na wakati mwingine mbio za mwenge. Watu hao kamwe kama hakuna nguvu au neema ya Mwenyezi Mungu ni vigumu kutoka hapo walipo, Sijaona utashi wowote wa kisiasa kuwaondoa watu hao katika uduni huo wa maisha.

Hayo ndio maisha yangu! Nilifikia hali hiyo si kwa vile ni genius! Ni mipango ya mwezi Mungu tu, ambaye anakuleta duniani bila kuchagua mzazi, wala mahali pa kuzaliwa ! Na ambaye pia anajua lini na wapi nitavuta pumzi yangu ya mwisho! Ni muumini naye amini uwepo wa Mungu, hasa katika mafunzo ya Predestination! "My destiny is in the hand of God"

Mtazamo wangu wa maisha ni kuwa, baraka za Mungu na mafanikio ambayo amekupa bure jaribu kama unaweza kuwasaidia wenzako ambao unapishana nao ulimwenguni kwa muda mfupi, kimawazo na kihali, na huo ndio umekuwa msimamo wangu, kwa wale ambao wanaona Tanzania ni ngumu, au milango imefungwa, kwa kuwaambia si mbaya kujaribu nje ya nchi! Kama mimi nimeweza, kwa nini wengine wasiweze! Hivyo si mrubuni wala kumshawishi mtu! Sipati faida yoyote kwa kufanya hivyo, ni kusaidia tu watu kufikisha ndoto zao!

Hivyo tukubali kutokubaliana, wewe umewekwa kwa sasa kwenye position hiyo ya kuwasadia Watanzania, fanya unaloweza kufanya.Nami nitafanya naloweza kufanya nikiwa na nia safi na dhamira njema.

Naamini wako watakao soma posts zako na zangu pia, kwa msemo wa Mhe mstaafu Rais Kikwete, akili za kuambiwa changanya na kwako watafanyia kazi.

Siku Njema, Maisha mema!.
 
Pumbav ni wewe unayekubali kushikishwa ukuta kwa kupenda mtelezo........si ajabu mtu kama wewe uko tayari kuolewa na mzungu ili uendelee kukaa ulaya, au watu wa dizaini yako ndo walio tayari kuwa mbwa ulaya........kosa vyote usiwe maskini wa fikra.
Mama yako na wewe mkundv ndio huwa nawashikisha ukuta , kvma la mamako
 
Pumbav ni wewe unayekubali kushikishwa ukuta kwa kupenda mtelezo........si ajabu mtu kama wewe uko tayari kuolewa na mzungu ili uendelee kukaa ulaya, au watu wa dizaini yako ndo walio tayari kuwa mbwa ulaya........kosa vyote usiwe maskini wa fikra.
Mseng€ wewe
 
Mkuu kimsingi hakuna tatizo kwa watu kuhamia nchi nyingine kutafuta fursa mbalimabali za kimaisha, kama nilivyotangulia kusema huko juu, nchi nyingi zilizoendelea zikiwemo za ulaya, canada, marekani, australia wakaazi wake wengi si watu wa asili kwenye hizo nchi. Mfano, Australia, watu wenye asili ya uingereza ambao ndo walianzisha hilo taifa kwa sasa wanakaribiana idadi na wahamiaji wengi wa kutoka nchi za Asia hasa China. Kwa nchi za EA, wakenya wapo wengi sana ughaibuni mara mia zaidi ya watanzania...........kwa hiyo sijui kwa nini hisia zimekuwa kali sana kwenye huu uzi.​
Wewe ni vuzi tu ,kvma wewe
 
Unajua maana ya uzalendo kisimi wewe ? , Mxieew
 
Kuna watz wengi wanaishi South Africa,Botswana,Malawi ect hao nao ni watumwa?mbona mnawasakana warz wanaoishi USA tu?
Achana na machoko haya , mafal@ yaliyopigwa na life bongo yanajipooza hapa na kujibaraguza
 
Wewe goal yako kuu ni kupambana kwa hali na Mali hata kwa kuu tako lako moja ili kupata financial freedom. Sisi wenzio tunapqmbania kupata total freedom yetu, jamii na taifa lote kwa do or die tukiwa humuhumu. Hata hako kaahueni wanakokapata weusi pale Marekani ilikuwa ni kazi ngumu ya akina Martin Luther king na wenzake, kalipatika kwa jasho na ujasili sio kwa kuwaza kiboyaboya kama wanavyowaza watafuta greencard ili kukimbia matatizo kwao, huo ni uboya uliokithili kiwango. Huwezi kukimbia tatizo labda uwe umebemendwa akili. Mungu hakuwa mjinga kutuweka sisi Tanzania.

Do not uproot the pumpkin at your home state (Chinua Chebe)
We ni mpuuz endelea kulipwa huku 5 kwa siku hapo lumumba , msukule mmoja wewe
 
Ushoga ni fursa pia, ndio hapo ninaipendea Marekani. China kila kitu ni chakula na Marekani kila kitu ni fursa,
Ushoga ni faragha ya mtu ,kama na wewe unataka ni kubwa shoga panua mkundv wako ufirwe uwe shoga au tagmfuta bwana akuoe awe anakufyira huko matakoni maana unataka ni sana kufyirwa ili uwe kama hao mashoga unaowaongelea humu , mashoga wapo hapo bongo kila mtaa , pumbafu
 
Mkuu hawa watu wapo tayari kubaguliwa na kusimangwa bila kujali lolote kisa maisha bora, whites wanamwona mtu mweusi kama mtu duni, mwenye kubeba magonjwa, asiye muungwana wala mstaarabu, hata kama hawatakuonyesha kwa nje, ule ubaguzi upo kwa ndani. Wakati nilipokuwa huko masomoni nilihakikisha naishi eneo karibu na chuo ili niwe natembea kwa miguu nisipande mabasi yao, maana kwa ule ubaguzi ni kawaida kupitwa kwenye kituo sababu upo mweusi peke yako, au kususiwa siti ili usikaribiane na mzungu kwenye zile siti mbilimbili......kunga'ng'ania maisha bora katika mazingira ya kubaguliwa na kusimangwa wakati hujafukuzwa kwenu sioni kama ni akili, zaidi ya kuonekana kama ni utumwa wa kifikra zaidi.​
Wewe mpumbavu taahira usiye na akili ,Marekani kuna ubaguzi kuliko hapo shithole country Tanzania ,wewe mchimba chumvi usiye na mbele wala nyuma huna ajira ,masikini wa kutupwa usiye na kipato ,mbwa koko ambaye hata watoto wako wataishia kuokota makombo jalalani , handful families ndio zimehodhi madaraka na uchumi hapo Tanzania ,ndio maana mnaminywa na Tozo na mnaambiwa muamie Burundi.
Mbwa koko usiye na mbele wala nyuma wewe unakuja kuandika vitu nonsensical hapa .
Fool you
 
Back
Top Bottom