Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Wajukuu zangu ( Sina wajukuu kwa sasa) Naamini hawatanilaumu kabisa kujikuta wamezaliwa Marekani!

Watajuta pale mashoga watakapokuwa wengi huko America na Ushoga kuwa ni utamaduni na sehemu ya maisha ya huko, hapo ndipo Mungu atakaposhusha gharika la moto wa Nuclear bombs kutoka kwa Russia, nazungumzia the coming world war lll.

Usijiliwaze kwa raha zako za muda mfupi janga linakuja na America itadondoka soon kama super power hapo wajukuu watakulaumu na kukulaani pia ukiwa kaburini wakiuliza kitu gani kilikukimbiza from your ancestors land!! 😏
 
Na ndio maana JF Kennedy alipata kuwaambia Waamerica; "Ask yourself what you can do for America but don't ask for what America can do for you"---hapo sasa ndipo utaona sababu ya Green card lottery kwamba ni kuchukua watu (brain drainage) kutoka nchi zingine kwenda Marekani, na hii sio Lottery perse bali ni an intentional selection of a person whom they need yaani kuna vigezo wanaviangalia ndipo wanawachukua watu wanaowataka ili wasaidie America ili izidi kuwa Super power na hiyo bahati nasibu sio bahati nasibu tuijuayo bali ni uongo na ujanja tu.

Wao wangetangaza wazi tu kwamba America inahitaji watu wa kada fulani na fulani na sio kufanya ujanja ujanja wa kikoloni na kibepari wa brain drainage.
I'm a master of my fate! Sikuchagua kuzaliwa Tanzania, acha nichague nitakapomalizia maisha! Naambiwa origin ya Bantus ni West Afrika, huwa inanisaidia nini hasa hiyo katika maisha yangu leo! Mipaka yenyewe tunayojivunia imechorwa na hao hao!
Na China ingekuwa Super Power, kama ningelikuwa bongo na kukosa fursa ningeenda China!

Na hata watoto wangu mpaka kesho ninawaambia wakiona maisha hayafai US wana wigo mpana! Wanaweza kwenda popote ulimwenguni na kuanza maisha! Maybe Iran na Korea ya kiduku ndio inaweza kuwasumbua!

Na wana uwezo hata kurudi asili yao Tanzania na kufanya chochote wanachotaka! Wakiwa hatua tano mbele na ukilinganisha na Watanzania wengi!
Nafurahi kuwafanya global citizen!

Kaa omba dua zako zote ! Hujui the coming global Super Power anaweza kuwa more brutal and worse than US!
 
Watajuta pale mashoga watakapokuwa wengi huko America na Ushoga kuwa ni utamaduni na sehemu ya maisha ya huko, hapo ndipo Mungu atakaposhusha gharika la moto wa Nuclear bombs kutoka kwa Russia, nazungumzia the coming world war lll.

Usijiliwaze kwa raha zako za muda mfupi janga linakuja na America itadondoka soon kama super power hapo wajukuu watakulaumu na kukulaani pia ukiwa kaburini wakiuliza kitu gani kilikukimbiza from your ancestors land!! [emoji57]

Naweza kuwa mdogo ki umri mkuu. Excuse me!!

Umeandika pumba[emoji706]

Hivi hapa Tz hakuna mashoga???

Tutumie akili vizuri kutafakari kabla ya kukurupuka.

Hakuna sehemu duniani hapa hakuna mashoga, ni wewe na maisha yako.

“MIND YOUR OWN BUSINESS”

Ukiishi katika hayo maneno hakika hutokuwa na makasiriko wala roho za kinyongo kwa walikuzidi mafanikio, Period
 
Jinsi ulivyoandika tu inaonekana wewe bado mdogo sana hivyo hujui uandikalo, Nakusamehe bure.

Ushoga upo karibu kila mahali duniani na Ushoga umekuwepo karne nyingi zilizopita (ref, Sodoma na Gomora), tofauti ni hii; kuna sehemu duniani Ushoga umekuwa ni fashion na culture na unapigiwa chapuo kikatiba kwamba ni HAKI miongoni mwa haki za binadamu, kuna sehemu za duniani ushoga ni nasty na unafanywa kwa siri kubwa na mashoga huko hawataki watambulike kuwa wao ni mashoga, wanajisikia aibu kubwa na sheria zimetungwa dhidi ya ushoga ili ku frustrate tabia hiyo.

America na Ulaya ni nchi zinazotetea Ushoga kwa nguvu kubwa na wametunga sheria kwamba ushoga ni haki na hao mashoga na viongozi wa kiserikali nk, wanajaribu kuutetea ushoga si tu katika ngazi za kitaifa bali pia katika ngazi za kimataifa, wanataka dunia yote ushoga uwe ni kama "political democracy"-- hii ni hatari kubwa.

Kama Mungu yupo hai na aliwaangamiza Mashoga wa Sodoma na Gomora walipozidi katika ulawiti/ushoga na kukaidi ujumbe wa Nabii wao Luti alipowaonya kuacha Ushoga, huyo Mungu atawaachaje wale mabeberu-mashoga wanaotaka kuvuka mipaka ya nchi zao za ushoga na kutaka kutawanya huo ushetani wao ili iwe ni tamaduni kwa nchi na watu wengine duniani ??!!-- kuinusuru dunia Mungu atawaangamiza hao mashoga kabla hawajachafua nchi zingine, maangamizo ninayoyaona ni silaha za nuclear katika vita kuu ya lll ya dunia, Mungu nadhani atawaangamiza kupitia nuclear bombs jinsi Mungu alivyowaangamiza Sodoma na Gomora kipitia moto wa gas iliyovuja usiku kutoka ardhini.--- moto wa nuclear ndio mbadala wa moto wa gas katika zama hizi za Ushoga wa watu wa ulaya na Amerika.

Ewe Mungu, tusamehe na utuepushe na adhabu hiyo.
 
Kavulata; umehamisha magoli sana kwenye Mada uliyoileta mwenyewe! Inaonyesha mada yako ilikuwa na mengi mno ndani yako! Hatukuwa kabisa tunalinganisha Utajiri/ Umaskini wa Marekani, wote tutaonekana wajinga, maana statistics ziko wazi!
Umekuwa unahama mno kwenye Mada hii! Mpaka naona kama unasukumwa na chuki binafsi na USA! Ambapo sikukatazi kabisa kuwa na mtazamo huo!
Lakini nashindwa kabisa kukuelewa hata wale ambao wana nia ya kuja unawakatisha tamaa!
Wewe una failure story za watu waliokuja US, mimi sikukatalii kabisa! Nimechangia nauli ya watu waliokuja US wakapoteza focus! Hata wengekuwa bongo wangeshindwa tu! Umalaya wa kupindukia, ulevi haumfikishi mtu mahali popote, sembuse ugenini!
Mimi nina success stories! Hutaki kabisa kuzisikia! Hapo ndipo unaponishangaza! Wewe umeniambia ni msomi, na umekuja mara nyingi US, mimi sijabisha!!Ila mimi nitapokueleza nina nyumba US, watoto wangu wemesoma na kufanikiwa, na wafahamu Watanzania wengi ambao siwezi kutoa majina yao humu wana mafanikio makubwa kunizidi mimi! Kwako inakua ngumu mno!
Umejiwekea ukuta mkubwa mno! Kwa msomi kama wewe inakua tabu kidogo!
Sina chuki na US hata tone, maana Mimi ni miongoni mwa wanufaika wa peoples of America. Lakini hii haiondoi ukweli kwamba green cards Ina manufaa kwa Marekani zaidi kuliko kwa wanaopata hiyo card. Haiondoi ukweli kwamba lengo la green card ni kuziba pengo lililoachwa na biashara ya watumwa. Haiondoi ukweli kuwa wahamiaji ni watu ambao hawawezi ku bargain dhidi ya waajili wao, wanachukuwa kilichopo tofauti na wazawa, Mzee concept ya manamba Iko palepale ingawa jina la manamba sio zuri kwa zama hizi, lakini uhaba wa wafanyakazi kwenye baadhi ya kazi ni chanzo Cha green card, sio huruma za wamarekani kwa walala hoi,
 
Jinsi ulivyoandika tu inaonekana wewe bado mdogo sana hivyo hujui uandikalo, Nakusamehe bure.

Ushoga upo karibu kila mahali duniani na Ushoga umekuwepo karne nyingi zilizopita (ref, Sodoma na Gomora), tofauti ni hii; kuna sehemu duniani Ushoga umekuwa ni fashion na culture na unapigiwa chapuo kikatiba kwamba ni HAKI miongoni mwa haki za binadamu, kuna sehemu za duniani ushoga ni nasty na unafanywa kwa siri kubwa na mashoga huko hawataki watambulike kuwa wao ni mashoga, wanajisikia aibu kubwa na sheria zimetungwa dhidi ya ushoga ili ku frustrate tabia hiyo.

America na Ulaya ni nchi zinazotetea Ushoga kwa nguvu kubwa na wametunga sheria kwamba ushoga ni haki na hao mashoga na viongozi wa kiserikali nk, wanajaribu kuutetea ushoga si tu katika ngazi za kitaifa bali pia katika ngazi za kimataifa, wanataka dunia yote ushoga uwe ni kama "political democracy"-- hii ni hatari kubwa.

Kama Mungu yupo hai na aliwaangamiza Mashoga wa Sodoma na Gomora walipozidi katika ulawiti/ushoga na kukaidi ujumbe wa Nabii wao Luti alipowaonya kuacha Ushoga, huyo Mungu atawaachaje wale mabeberu-mashoga wanaotaka kuvuka mipaka ya nchi zao za ushoga na kutaka kutawanya huo ushetani wao ili iwe ni tamaduni kwa nchi na watu wengine duniani ??!!-- kuinusuru dunia Mungu atawaangamiza hao mashoga kabla hawajachafua nchi zingine, maangamizo ninayoyaona ni silaha za nuclear katika vita kuu ya lll ya dunia, Mungu nadhani atawaangamiza kupitia nuclear bombs jinsi Mungu alivyowaangamiza Sodoma na Gomora kipitia moto wa gas iliyovuja usiku kutoka ardhini.--- moto wa nuclear ndio mbadala wa moto wa gas katika zama hizi za Ushoga wa watu wa ulaya na Amerika.

Ewe Mungu, tusamehe na utuepushe na adhabu hiyo.

Kipindi kile makonda alivyoanzisha ile operesheni ya kutokomeza mashoga, vp mbona alizuiliwa kama nchi nayo haisapoti hiyo mambo???

Uwe mkubwa or mdogo, akili tu inatosha.

Mnapenda kuwa OP na kila jambo, ilimradi tu huonekane nawe unajua kitu kumbe ni [emoji706]
 
Na ndio maana JF Kennedy alipata kuwaambia Waamerica; "Ask yourself what you can do for America but don't ask for what America can do for you"---hapo sasa ndipo utaona sababu ya Green card lottery kwamba ni kuchukua watu (brain drainage) kutoka nchi zingine kwenda Marekani, na hii sio Lottery perse bali ni an intentional selection of a person whom they need yaani kuna vigezo wanaviangalia ndipo wanawachukua watu wanaowataka ili wasaidie America ili izidi kuwa Super power na hiyo bahati nasibu sio bahati nasibu tuijuayo bali ni uongo na ujanja tu.

Wao wangetangaza wazi tu kwamba America inahitaji watu wa kada fulani na fulani na sio kufanya ujanja ujanja wa kikoloni na kibepari wa brain drainage.
Nasikitika kuona watu kama cassavaleves hajui kama ameziba pengo la biashara ya watumwa, tena yeye ananyonywa zaidi kwakuwa ni learned (msomi) aliyesomeshwa na Kodi za wachoma vitumbua na kuondoka Bure kabisa kwenda kujenga taifa lingine yeye na wajukuu zake, tena anajisifu kabisa na uraia kachukua yeye na wajukuu zake. Sawa na mfungwa anaejisifu kupewa kazi ya unyapala ndani ya gereza, kwa njia wamarekani wanaiba cream, brained, think tanks ya nguvukazi ya nchi zinazoendelea,
 
Sina chuki na US hata tone, maana Mimi ni miongoni mwa wanufaika wa peoples of America. Lakini hii haiondoi ukweli kwamba green cards Ina manufaa kwa Marekani zaidi kuliko kwa wanaopata hiyo card. Haiondoi ukweli kwamba lengo la green card ni kuziba pengo lililoachwa na biashara ya watumwa. Haiondoi ukweli kuwa wahamiaji ni watu ambao hawawezi ku bargain dhidi ya waajili wao, wanachukuwa kilichopo tofauti na wazawa, Mzee concept ya manamba Iko palepale ingawa jina la manamba sio zuri kwa zama hizi, lakini uhaba wa wafanyakazi kwenye baadhi ya kazi ni chanzo Cha green card, sio huruma za
Kavulata;
Lengo la Greencard na kufanikisha malengo yangu binafsi binafsi vina uhusiano gani ?

Nimekamatwa kwa nguvu Tanzania? Nimerubuniwa? Nakatazwa kurudi Tanzania nikitaka? Uhuru wangu wa mobility ulimwenguni umeongezeka kwa kuwa raia wa US

Nina maisha mafupi sana ulimwenguni, I have to think very wise nifanye nini na maisha yangu!

Kuja Marekani sijaikosea nafsi yangu, sijaikosea imani yangu ya dini! Sijakosea ukoo wangu! Na Sivunja sheria yoyote ya Tanzania! Labda nimemkosea Kavulata na watu wenye mawazo kama yeye!

Kuja kwangu Marekani kumeongeza wigo wangu wa kusaidia jamaa zangu Tanzania, nimetoka kutuma kama $ 400 kusaidiwa watu watatu, mmoja anataka kuhamisha watoto wake shule, hana pesa ya kuchukua fomu shule mopya, mwingine hana pesa ya kwenda msibani kuhani msiba wa kaka yake mkoani, na mwingine kafiwa na ndugu wawili katika ukoo kwa wakati mmoja!

Kwa hiyo Greencard na malengo yake yote unayoyasema imekudhi haja zangu kwa nini niwe kinyume chake?

Marekani inaingiza watu through Greencard, inahitaji kussuport uchumi wake, China ina wizara ya kuwasaidia Wachina kuondoka nje ya nchi kwenda kutafuta kusaidia uchumi wake. Tofauti yake ni nini hasa!

Kuja kwa Wachina Tanzania kuna watu wamefaidika kwa bidhaa feki, ajira nk!
Najua mno uchumi wa dunia unavyofanya kazi kuliko wewe! Mimi naangalia where do I fit in! Naangalia mambo from very broader view, na mimi katika maisha yangu mafupi duniani nifanye nini!

Wewe umeamua kubaki Tanzania hukatazwi kabisa! Kwako njia bora ni kuisadia CCM ibaki madarakani umeona ndio njia bora kabisa kuyapa maisha yako maana, sikulaumu! Babu na babu zako maybe walitoka West Afrika na kusettle Tanzania! Usikataze wengine ambao tumeiona tuindeleze hiyo safari ya migration ya mababu zetu na ku settle USA!

Hata watoto wangu nawaambia wazi, wakiona wanachotafuta hakipo Marekani, kuna Australia, Canada,New Zealand, ni kuangalia nini wanataka katika maisha haya mafupi!
 
Kipindi kile makonda alivyoanzisha ile operesheni ya kutokomeza mashoga, vp mbona alizuiliwa kama nchi nayo haisapoti hiyo mambo???

Uwe mkubwa or mdogo, akili tu inatosha.

Mnapenda kuwa OP na kila jambo, ilimradi tu huonekane nawe unajua kitu kumbe ni [emoji706]

Mbona unatetea sana ushoga, kulikoni??!!
 
Mokaze,

Ingawa unamjibu AM_ Tunnech, labda ningependa kuweka wazo langu, Kavulata ameleta mada ambayo haikua inahusiana na ushoga kabisa! Argument yake kubwa ilikuwa kuondoka nchini through Greencard in umanamba wa aina fulani kutokana na msimamo wake, ambao hakatazwi kabisa kuamini kama anavyoamini.

Lakini alivyokuwa anashindwa kutetea hoja yake, akaingiza mada nyingi tu! Kama Ushoga! Ubaguzi ! na mambo mengine mengi, akahama kwenye mada yake kuu ya msingi!.

Mokaze, sikupenda kuingiza kwenye mabishano ya ushoga na Kavulata, kwa sababu tu moja, Ushoga hauathiri kabisa maisha yangu ugenini, na kuzuia kufanya nalotaka kulifanya Marekani! Na haizuii wanaoingia Marekani kutafuta ndoto zao Marekani! Kuna Waislamu wana misikiti mikubwa na kila leo wanafurika Marekani

Ushoga Marekani ni chaguo la mtu binafsi kabisa, kwa taarifa nyingi asilimia yao ni ndogo mno!

WASHINGTON, D.C. -- The percentage of U.S. adults who self-identify as lesbian, gay, bisexual, transgender or something other than heterosexual has increased to a new high of 7.1%, which is double the percentage from 2012, when Gallup first measured it.

Gallup asks Americans whether they personally identify as straight or heterosexual, lesbian, gay, bisexual, or transgender as part of the demographic information it collects on all U.S. telephone surveys. Respondents can also volunteer any other sexual orientation or gender identity they prefer. In addition to the 7.1% of U.S. adults who consider themselves to be an LGBT identity, 86.3% say they are straight or heterosexual, and 6.6% do not offer an opinion. The results are based on aggregated 2021 data, encompassing interviews with more than 12,000 U.S. adults.

Jambo ambalo hata hapa Marekani linawashangaza wengi, ni kuwa asilimia hiyo 7.1% Ina nguvu mno kipesa! Sio Marekani tu, dunia nzima! Kwa kukujulisha tu aslimia hiyo ina influence Democratic Party hata Republican pia, na wana nguvu hata kwenye World Platform! Hata UN!

Kwa watu wengi ambao wanajua Dunia inaenda wapi, ni swala la muda tu! Dunia nzima itaiingizwa kwenye wimbi hilo! ( Sitaki kuleta nadharia nazoamini za dini yangu hapa) Lakini Ulimwengu unakokwenda kwa ujumla si mahali kuzuri, Uchumi wa dunia bado utakuwa mikononi mwa watu wachache, na ndio watakua na amri ya mwisho! Swala la ushoga ( ambalo hata mimi kwa imani yangu nalichukia sio swala kufa leo wala kesho)

Hivyo Mokaze, niko Marekani, ni nchi yenye uhuru wa kila aina, na kuchagua lifestyle unayoitaka, ni swala la binafsi zaidi! Labda tukutane kwenye mada nyingine kuangalia nani behind Ushoga duniani, ni mtu mwenye kutazama juu juu na kusema Marekani! Hata ndani ya Marekani ni nani hasa wanaoisukuma hoja hiyo! Wengi ni ile 1% inayotawala uchu,mi wa dunia!
 
Pumba tupu ukiwa na green card by the way sio lazima uishi marekani wapo wafanyabiashara na public figures wenye gree card wasisumbuke siku wakihitaji kuingia us ,ukiwa na green card ukipata ajira serikalini usa mathalani jeshini mshahara unalipwa kama raia wa Usa sasa hoja ya manamba inaingiaje
 
Wewe jamaa hujui unachosema, mimi niko hapa kwa iyo kadi,,, na make very good life , pesa nayopata mimi ni zaidi ya mshahara wa mbunge wako kwa mwezi, then why nije kutumia nguvu kutafta laki 5 kwa mwezi??? WTF
 
Pumba tupu ukiwa na green card by the way sio lazima uishi marekani wapo wafanyabiashara na public figures wenye gree card wasisumbuke siku wakihitaji kuingia us ,ukiwa na green card ukipata ajira serikalini usa mathalani jeshini mshahara unalipwa kama raia wa Usa sasa hoja ya manamba inaingiaje
Ni shida mno jamaa yangu kuwaeleza watu wenye mawazo ya stone age!
 
Mbona unatetea sana ushoga, kulikoni??!!

Wapi nimetetea?? Ndiomana nikasema tujifunze kutumia akili vizuri.

Nadhani hujasoma hii thread vizuri, huyo jamaa aliyeanzisha huu uzi ako kwa ajili ya kuponda watu wanaenda kitafuta maisha abroad.

Haswa Marekani, sasa kila uchwao anaibua hoja zake sisizo na msingi, yupo kwa ajili ya kuoppose kila kitu.

Kila mtu ana haki ya kwenda kokote duniani hapa na kuishi vizuri, ili mradi upo kihalali.

Kila mtu atizamie hali yake binafsi yeye na family yake, maana hawa CCM wenyewe wanatizama wao na mitumbo yao tu.

Hakuna mtanzania mwenye ako na hali ya chini alafu akakataa opportunity ya mafanikio abroad, NEVER!!!

Labda hawa CCM wanaifaidi wenyewe mema ya nchi, wakisahau hali ya watu wengine.

Maisha yanapanda kila uchwao, vyakula havishikiki sasa hivi.

Kuna ufinyu wa ajira mnoo, hata baadhi walioajiriwa mshahara ni finyu hautoshi kabisa.

Sasa kwa hali hiyo, nikapata connection ya kazi abroad tena unalipwa kikawaida tu $30/hr.

Kwanini nisiende kufanya nisaidie family yangu??

Maana watanzania tunaroho fulani mtu ako radhi kufurahi maisha duni ya mwenzake kuliko mafaniko.

Make up your mind mkuu!!!
 
Hiyo Green card lottery ni sawa na useme; "Kubali wito wa kafiri uende kumtumikia ili upate muradi wako".---- kama mtu unapata muradi wako kwa kafiri hakuna shida.
 
Mokaze,

Ingawa unamjibu AM_ Tunnech, labda ningependa kuweka wazo langu, Kavulata ameleta mada ambayo haikua inahusiana na ushoga kabisa! Argument yake kubwa ilikuwa kuondoka nchini through Greencard in umanamba wa aina fulani kutokana na msimamo wake, ambao hakatazwi kabisa kuamini kama anavyoamini.

Lakini alivyokuwa anashindwa kutetea hoja yake, akaingiza mada nyingi tu! Kama Ushoga! Ubaguzi ! na mambo mengine mengi, akahama kwenye mada yake kuu ya msingi!.

Mokaze, sikupenda kuingiza kwenye mabishano ya ushoga na Kavulata, kwa sababu tu moja, Ushoga hauathiri kabisa maisha yangu ugenini, na kuzuia kufanya nalotaka kulifanya Marekani! Na haizuii wanaoingia Marekani kutafuta ndoto zao Marekani! Kuna Waislamu wana misikiti mikubwa na kila leo wanafurika Marekani

Ushoga Marekani ni chaguo la mtu binafsi kabisa, kwa taarifa nyingi asilimia yao ni ndogo mno!

WASHINGTON, D.C. -- The percentage of U.S. adults who self-identify as lesbian, gay, bisexual, transgender or something other than heterosexual has increased to a new high of 7.1%, which is double the percentage from 2012, when Gallup first measured it.

Gallup asks Americans whether they personally identify as straight or heterosexual, lesbian, gay, bisexual, or transgender as part of the demographic information it collects on all U.S. telephone surveys. Respondents can also volunteer any other sexual orientation or gender identity they prefer. In addition to the 7.1% of U.S. adults who consider themselves to be an LGBT identity, 86.3% say they are straight or heterosexual, and 6.6% do not offer an opinion. The results are based on aggregated 2021 data, encompassing interviews with more than 12,000 U.S. adults.

Jambo ambalo hata hapa Marekani linawashangaza wengi, ni kuwa asilimia hiyo 7.1% Ina nguvu mno kipesa! Sio Marekani tu, dunia nzima! Kwa kukujulisha tu aslimia hiyo ina influence Democratic Party hata Republican pia, na wana nguvu hata kwenye World Platform! Hata UN!

Kwa watu wengi ambao wanajua Dunia inaenda wapi, ni swala la muda tu! Dunia nzima itaiingizwa kwenye wimbi hilo! ( Sitaki kuleta nadharia nazoamini za dini yangu hapa) Lakini Ulimwengu unakokwenda kwa ujumla si mahali kuzuri, Uchumi wa dunia bado utakuwa mikononi mwa watu wachache, na ndio watakua na amri ya mwisho! Swala la ushoga ( ambalo hata mimi kwa imani yangu nalichukia sio swala kufa leo wala kesho)

Hivyo Mokaze, niko Marekani, ni nchi yenye uhuru wa kila aina, na kuchagua lifestyle unayoitaka, ni swala la binafsi zaidi! Labda tukutane kwenye mada nyingine kuangalia nani behind Ushoga duniani, ni mtu mwenye kutazama juu juu na kusema Marekani! Hata ndani ya Marekani ni nani hasa wanaoisukuma hoja hiyo! Wengi ni ile 1% inayotawala uchu,mi wa dunia!

Achana na Ushoga, Lakini kumbuka Babu zako walipohama kutoka West Africa kuja East Africa (the Bantu migration) hawakupewa "Green cards", walihama tu kutafuta mahitaji yao bila shinikizo au ushawishi kutoka nje, Waamerica walienda West Africa kuchukua watumwa forcefully na kuwaleta huko USA, sasa "utumwa" haupo tena lakini "watumwa" bado wanahitajika marekani, sasa wakajiuliza ni kwa njia zipi modern wanaweza kupata watumwa na katika njia hiyo "mtumwa" akija kwa hiyari yake asijitambui kwamba yeye atakuwa mtumwa wa hiyari??!!---- ndipo wakaanzisha hiyo Green card lottery, hiyo ni njia ya kusaka Watumwa kwa kupitia njia za kisasa sio zile za kutumia nguvu.

Sichukii hiyari yako ya kwenda huko kupata greener pastures kwa ajili yako na familia yako lakini Kavulata hajakosea anaposema Green cards ni njia ya uchukuaji wa manamba stealthily hususan watu waliosomeshwa na kodi za walalahoi kwenda kumtumikia kafiri ili wapate muradi wao binafsi wakisahau Kwamba walisomeshwa na kodi za walalahoi, nataka ujue ubeberu wa America kunyonya dunia umetapakaa katika njia nyingi sana Green card ni mojawapo.

The Green card is simply American brain drainage from poor countries.

It is the Green cards for greener pastures!! 😀😀
 
Mokake,
Mbona umekuja na very defeating arguments against yourself!
Sasa nani wa kumlaumu na hiyo brainwave! Marekani au nchi za kimaskini!
Mmeshindwa kutumia raslimali zenu, wengine wameziona, kwa nini wasizichukue! Wananazichukua kwa mikopo yenye utata! Ambayo mnawatuma viongozi wenu wenyewe kusaini mikataba mibovu!
Mnashindwa kutengeneza soko la ajira za wataalam wenu! Marekani inaziona hizo potential, inatengeneza program za kuchukua akili zenu! Mnaishia kupiga kelele!
Nani wa kumlaumu hasa? Marekani au upuuzi wa viongozi wenu!

Labda nikuulize, kwa nini chi masikini zisifanye the opposite! Kwa nini msifanye the opposite! Kwa nini tunashindwa ku drain brain from developed countries!
Sijaona nchi imepiga Marufuku Greencard! Labda Korea ya kiduku! Nayo sijui!

Ukweli unabakia nchi za kimaskini zisipobadili mwelekeo bado Marekani na washirika wake watachota kila aina ya raslimali!
 
mkuu una hatari kubwa sana, nitakutembelea hapo nione how you are leading your life kiasi cha kuona kuishi tanzania ni upuuzi mtupu kwakuwa hakuna umeme, maji wala hewa ya oxygen. Yaani unaona maisha bila kuishi Marekani hayawezekani kabisa. Ninawasihi vijana tena na tena na tena kuwa ni wahamiaji wachache sana wanaofanikiwa kule Marekani, majority wanaishia pabaya sana na kufanya donkey jobs ambazo hata huku zinakutoa na zina heshima. Mwenye afadhali ni yule mwenye ujuzi unaohitajika kule baasi, unemployment rate is very high na viwango vya uhalifu viko juu sana, wenye rangi nyeusi wengi wako magrezani believe me. Huyu jamaa hayuko Marekani amehadithiwa tu habari za Marekani, is a layer. Tatizo kubwa la Marekani ni ukosefu wa ajira baada ya viwanda vingi kuhamishiwa Asia kupunguza cost of production (gharana za uzalishaji kuwa kubwa) baada ya watumwa kudai haki zao na malipo makubwa ya kazi na masaa. Hii tabia ya ushoga kule haikuja hivihivi tu kijingajinga bali maisha magumu yaliwalazimisha kuhalalisha tabia hiyo. Asikudanyange mtu, ukiona deal is so good think twice. Kama huna elimu inayohitajika kule usiende kuishi kule badala yake tembea tu kisha urudi, nenda kasome kisha urudi.
Inaumiza sana kuona unapotosha watu kiasi hiki, wewe pengine hata Marekani hujawahi kufika, kama ulifika hukuwa na documents za kukuwezesha kuishi kwa amani, ndugu zangu watanzania nawahakikishia Marekani kuna fursa zaidi ya mara 50,000 ya Tanzania, huwezi kukoswa kazi Marekani kama uko timamu kiakili, nipo Marekani kila unakopita ni matangazao ya kazi. Nashindwa kuelewa akili ya huyu jamaa aisee.
 
Mokake,
Mbona umekuja na very defeating arguments against yourself!
Sasa nani wa kumlaumu na hiyo brainwave! Marekani au nchi za kimaskini!
Mmeshindwa kutumia raslimali zenu, wengine wameziona, kwa nini wasizichukue! Wananazichukua kwa mikopo yenye utata! Ambayo mnawatuma viongozi wenu wenyewe kusaini mikataba mibovu!
Mnashindwa kutengeneza soko la ajira za wataalam wenu! Marekani inaziona hizo potential, inatengeneza program za kuchukua akili zenu! Mnaishia kupiga kelele!
Nani wa kumlaumu hasa? Marekani au upuuzi wa viongozi wenu!

Labda nikuulize, kwa nini chi masikini zisifanye the opposite! Kwa nini msifanye the opposite! Kwa nini tunashindwa ku drain brain from developed countries!
Sijaona nchi imepiga Marufuku Greencard! Labda Korea ya kiduku! Nayo sijui!

Ukweli unabakia nchi za kimaskini zisipobadili mwelekeo bado Marekani na washirika wake watachota kila aina ya raslimali
Mokake,
Hivi hujiulizi Lumumba wa Kenya kapiga kelele Greencard ni umanamba! Kenya ndio inayoongoza Maproffesors wake nchini Marekani kutoka East Africa! Wakenya wanaingia kwa wingi mno Marekani kwa Greencard!
Kwa kifupi ni policies mbaya zinachangia kuondoka watu nchini! Ukiacha watu kami mimi ambao napenda adventures maishani!
 
Nyumisi: Nilidhani umeelimika!bado thinking yako iko twisted, unaposema cheap labour sijui una maana ipi! Hivyo mtu aliyekuja soma US, sio kutoka Tanzania tu au nchi yoyote kama professional,yeye analipwa kidogo sawasawa na mzawa!
Nauliza unajua unachokisema? Nilimtembelea recently Mtanzania ambaye alikuwa BOT akaja kusoma huku, baada ya kuwa na experience amewekwa kuwa mkuu wa kitengo fulani katika IT company, mshahara alioutaka yeye baada ya kuangalia wenzake wanalipwa nini IBM,dau alilotaka walimpa,siwezi kuweka hapa maana hatuaamini!
Sasa narudi kwenye mfano binafsi, my son ni IT person, alipokuwa semester ya mwisho yeye na wenzake wawili walikuwa approached na Institution fulani, waliopoajiriwa, yeye Mtanzania, mmoja kutoka Nepal na kijana mzungu wa hapa wote walianza na scale moja! Maana shirika liliwaonyesha entry level package.
Sasa sijui habari hizi mnaokoteza wapi?
Anyway, let say nikubali argument yako, nimetoka Tanzania nakuja kusoma US, mshahara wangu Tanzania ni $ 1500/ Baada ya ku graduate, shirika la US likaona nafaa, na kunilipa mara tano ya Tanzania, na position hiyo hiyo yuko mzawa analipwa more than me, kwa hiyo unashauri nirudi nyumbani kuchukua $1500/ yangu sababu ya uzalendo! Uzalendo upi hasa!
Hivi huo uzalendo mnaouzungumza hapa mbona hatuuoni ukifanya kazi na kubadili nchi?
Mnaishia kulalamika juu ya tozo, ukosefu wa maji, umeme, mbona huo uzalendo uliowakimbiza ulaya umeshindwa kubadili nchi!
Hebu acheni porojo!
Mkuu huyo acha kusumbuana nae hajui chochote, kwa maandishi hayo ninayoyasoma kwenye comments zake hawezi kuwa kasoma either US au Europe, halafu angalia anavyoji contradict, post ya kwanza kasema amesoma US miaka miaka 3, ya pili alisoma nchi moja ULAYA akakaona wazungu wanaomba omba, kama ni kweli angekuwa kasoma kwenye hizo nchi/bara moja wapo kati ya hayo asingehangaika kutafuta kufanya IELTS(kama thread yake moja anavyoomba kuelekezwa kufanya hilo jaribio), ndio maana nimekuwa nasisitiza unahangaika na WAJINGA.
 
Back
Top Bottom