Green Card Makulilo Lottery

Green Card Makulilo Lottery

Mwamba kaoa senior citizen ili kujihami kimaisha. Anawachuuza vijana eti Green card ndo itawatoa kimaisha bila kuwapa ukweli wa maisha.

Ashalamba uraia kamili, ni mwanajeshi mstaafu, wa US Navy, passport yake ya marekani roho inamuuma kuona wanaigeria wengi anataka avute wabongo wengi sijui kama atafanikiwa maana kwa ubishi tu tunajiweza
 
Umaskini mbaya Sana
Kuna watu wanaosha vizee USA lakini nyumbani wamejenga ghorofa moja ,plus usafiri tena sio Toyota wana range kuna koo zingine hawajawahi hata kuingia kwenye range hata kumiliki Tu
Halafu MTU yupo bongo ana miaka 50 hata hata pa kukaa KAZI anatapeliwa na kalinda ni heri watu waombe green card kama akifanikiwa ataleta hela nyumbani kuwekeza
 
Umenena mkuu..kuna wabongo wana chuki sana maisha yamesha wapiga wanakuja kukatisha wenzao tamaa hapa.
 
Back
Top Bottom