Green Card Makulilo Lottery

Green Card Makulilo Lottery

Ni fursa kama fursa nyingine. Anayehitaji asivunjwe moyo na asiyehitaji.

Tuliolidhika na Life la Tz tuwaache wanaotaka kujaribu life ughaibuni...

Elimu ni gharama, kuliko kuwa blind, bora kumckliza mwamba akutoe tongo tongo. Katoa elimu hii tng zamani sana. Sioni ka hiyo 20 inalingana na anachofundisha.

Kila la kheri
 
Hakuna anayempinga mwamba, na anafanya vizuri Ila afafanue zaidi kushinda lottery sio final. Kwa wastani ujiandae eg. Documentations (kupima Afya), Nauli, viza na pesa ya kujikimu ukifika US.
Pia Apunguze jazba akiulizwa kitu
 
Jamaa anatambaa na fursa hii ya kuchanja 20,000/= kumsaidia ku-apply imemshushia thamani zaidi. Kama angekua kweli ana Nia ya nn kuokota senti za vijana?
Duuh wallahi wabongo hambebeki haki ya nani kwahiyo mkuu ulitaka atoe muda wake na pesa zake kuapplyia lottery watu zaidi ya 2000 bure tu

Unajua gharama ya kupiga hiyo picha pale mlimani city inayokidhi vigezo vyote vya lottery

Hivi kama hiyo 20K tu unaiona kubwa ikitokea ukashinda hiyo lottery utaweza kweli kugharamia zaidi ya 10M kuanzia medical fee, visa, nauli ya ndege pamoja na pesa ya kuanzia maisha US kabla ya kupata kazi

Au na wewe ni kati ya wale mliodanganywa kuwa serikali ya marekani itakugharamia kila kitu baada ya wewe kushinda hiyo lottery

Mkuu lazima mjue kwamba hiyo bahati nasibu haiko kwa ajili ya sisi watoto wa wakulima na wala serikali ya marekani haijawahi kusema kwamba hiyo ni fursa ya masikini kuenda US kwahiyo ukiona uchumi wa nyumbani kwenu haueleweki achana nayo fanya mambo mengine
 
Hakuna anayempinga mwamba, na anafanya vizuri Ila afafanue zaidi kushinda lottery sio final. Kwa wastani ujiandae eg. Documentations (kupima Afya), Nauli, viza na pesa ya kujikimu ukifika US.
Pia Apunguze jazba akiulizwa kitu
Nimegundua huyu jamaa wengi mnaomponda hamumfuatilii sababu hayo yote ameshaeleza sana tena huwa anarudiarudia kila mwaka
 
Hizi ndo information huyo jamaa hasemi.Yeye anasifia Mwanzo-mwisho as if ukishashinda bhaasi wewe utabebwa Kama gunia direct to US.
Umeshawahi ingia You tube kucheki videos zake huyu EBM Makulilo? Au unaleta chuki zako hapa?? Tatizo unaongea Vitu bila kuwa na uhakika navyo![emoji35][emoji35] , AFRIKA ina watu walio laaniwa kwa chuki na wewe ni mmoja wao ..kuliko kumpa msaada Mwafrika bora umpe mbwa atakushukuru.jamaa kaeleza kila kitu kuhusu mazuri na mabaya ya Amerika lakini kutokana na wabongo ni wanafiki hawafuatilii vitu wana kurupuka na chuki zao kuponda watu..huona kila mtu ni mbaya...
 
Nimegundua huyu jamaa wengi mnaomponda hamumfuatilii sababu hayo yote ameshaeleza sana tena huwa anarudiarudia kila mwaka
Kuna ubaya akirudia kufafanua?
 
Attachments

  • 1665551271388.jpg
    1665551271388.jpg
    88.5 KB · Views: 27
Vijana stukeni. Kama huna pesa US utapasikia tu. Green Card sio msaada
Yaani mtu kama wewe kuliko nikupe Msaada bora nimpe Mbwa... wabongo mna chuki na hambebeki hata kwa wema gani...!!!! Huna experience ya America zaidi ya Majungu yaliyo kujaa kichwani kwako.
 
Vijana changamkieni fursa adhimu ya kwenda na Kuishi Marekani. Full Raha kule hakuna mateso kama Nangurukuru
Mateso yapo kila mahali mkuu,sema yana tofautiana. Hata USA kuna Hustle na mateso vile vile ila bongo yamezidi.
 
Acha roho mbaya mkuu watu waende kwa Biden!
Hakuna ambae hataki waende Ila waende wakiwa well informed! Wakenya, Wahindi, Wacongo ndugu wanawachangia ndugu zao wanaopata Green card na matokeo yanaonekana.
 
Hakuna ambae hataki waende Ila waende wakiwa well informed! Wakenya, Wahindi, Wacongo ndugu wanawachangia ndugu zao wanapata Green card na matokeo yanaonekana.
Information zote zipo You tube una uhakika gani watu hawapo well informed? Au wewe tu ndio uko informed???
 
Information zote zipo You tube una uhakika gani watu hawapo well informed? Au wewe tu ndio uko informed???
Mkuu sijui Kwa nn unapanik hv. Relax. Lengo letu Ni moja, nafurahi kuona vijana wanakamata fursa nje ya nchi Ila sio wakaaibike kwa kukosa taarifa sahihi
 
Makulilo anataka mwende jamani...
Kam huna Carrier jiandae kufanya kazi kwenye nyumba ya kutunzia wazee ni mwendo wa kutawaza Tu. Bon voyage

Ni hatua tu ya maisha kama ambavyo mwingine anaanza umachinga kabla ya kuwa na duka.

Caregiver kiwanja ana hela kuliko mkurugenzi wa taasisi kubwa tu hapo bongo.
 
Back
Top Bottom