Green city runners wafanya maandalizi ya tulia marathon

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
611
Reaction score
567
Kikundi cha kukimbia ndani ya jiji la Mbeya,Green city Runners leo wamefanya mazoezi Leo ikiwa ni maandalizi kuelekea mashindano ya Tulia Marathon.

Mwenyekiti wa kikundi hicho Maulid Jamadary amesema maandalizi hayo yamefanyika 30/4/2023 kwa kuwashikisha jacaranda runners wa jiji la mbeya mazoezi hayo ni mahususi kwaajili ya maandalizi ya mbio ya mbeya tulia marathon itakayofanyika tarehe 5/6- may mwaka huu.

Mashindano hayo ya Tulia Marathon yatafanyika ndani ya uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
 
Marathon kufanyika ndani ya uwanja wa sokoine....Dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…