Green Guards wa CCM na UVCCM mlipanga 'Kumteka' Mtangazaji wa Wasafi Media (Charles William) ili iweje?

CCM sio chama cha siasa; wao walipitisha sheria vyama vya siasa visiwe na hivi vikundi vya ulinzi, na wao ndio wanavyo. Maana yake wao sio chama cha siasa.
 
Ombi langu tu Kwenu mkikubaliana Kuniteka hakikisheni Kwanza hao Green Guards mtakaowatuma Kwangu wawe wana Akili Kubwa kisha waambieni kabla ya kuja Kwangu wawe wameshaaga Majumbani mwao na Kugawa Urithi kwa Watoto wao na wawaambie ikitokea Wamekufa wangependelea Wakazikwe wapi sawa?
We jama una mikwara. Unaongelea Ufaransa huko. Njoo Tz uone.
 
Remnants za Mwendakuzimu Jiwe bado zipo sana
Mwendakuzimu ali set precedence ya ki Boya sana ambayo itachukua Muda sana kufutika.
Naombea Alshabaab waende kulipia Pale Chuttle alipozikwa
Kwani aliekamteka Dkt Ulimboka alikuwa nan? Mbona kama haya mambo mnataka mfanye kama yalianza awamu ya Magufuli? Alimteka na kumipiga kitu kizito kichwan Dkt Mvungi nan? Aliemuua Daudi Mwangosi nani? Aliekuwa anapiga mabomu kwenye mikutano ya Chadema alikuwa nan? Aliemuua Mtikila nan?
 
Niliona alipost kwenye instagram yake akaweka had screen shot. na alitonywa na marafiki zake amabo wapo kwenye hilo Group. ndio maana lissu,wenje na lema hawataki kurudi maana wanajua aliyekufa ni magufuli ila wahuni alio waasisi bado wapo
Mbona mnsingizia Magufuli sana? Unakumbuka Kipindi cha Kikwete CCM walitaka Chadema waifute Red Briged na Chadema wakawa wanasema na CCM waifute Grean Guard? Wakawa wanasema hakuna chama kuwa kikundi cha ulinzi?

Nakupa Link
Basi sababu zilikuwa hizo za utekaji, ila kama siasa umezijua kipindi cha Magufuli pole ila jiulize tu kwani nani alimteka Dkt Ulimboka? Nani alimteka na kumuu Dkt Mvungi? Nani alimuu Daudi Mwangosi? nani alikuwa anarusha mabomu kwenye mikutano ya Chadema huko Arusha? Basi ndo ujue hayo mambo hayakuanza enzi za JPM! Yapo anzia zaman sana
 
Mwanya wa katiba mbovu na Madaraka ya kofia mbili yanaliangamiza Taifa langu TANZANIA!

Katiba Mpya haitoruhusu chama kuwa kikubwa kuliko nchi na watu wake!!

Na vikundi vya kihalifu vya vyama kama hivi vitakufa na watu wote watalindwa na Mamlaka ya ulinzi pekee!chama hakitoruhusiwa kuandaa walinzi WAO!!ulinzi ni jukumu la nchi na sio kikundi cha watu!!

Naipenda TANZANIA YANGU Mpya Baada ya katiba Mpya kupatikana!!

TUSUBIRI
 
UVCCM kama kuna Kikundi ambacho Kitawachafua na Kimewachafua ni hiki cha Ulinzi wenu Kiitwacho Green Guards.

Nimesoma leo katika Moja ya Gazeti kuwa Watu wa UVCCM kupitia hiki Kikosi chenu kilichojaa Wapumbavu Watupu kiitwacho Green Guards kilikuwa kimepanga Kumteka na Kumdhuru Mtangazaji wa Wasafi FM Charles William kutokana na kile kinachosemekana ni Kukerwa na Ukosoaji wake wa Kimantiki Kwao.

Leo hii Mimi GENTAMYCINE nimepata Jibu la Maswali yangu mengi kuwa ni nani huko nyuma alikuwa Akiteka na hadi Kudhuru Watu hadi wale waliopotea mazima Kiuhai na tayari nimeshawajua hivyo kama mwana CCM Kiushabiki ( ila bado siyo Mwanachama ) napanga kuwaombea Laana mbaya, kali na takatifu kwa Mwenyezi Mungu ili iwe Fundisho.

Nyie UVCCM ni nani Tanzania hii na hapa duniani Msikosolewe? Mngekuwa na Akili mngeshukuru kwa Kukosolewa Kwenu huko kwani kunawasaidia na Kuwajenga zaidi Kiutendaji tofauti na ilivyo na mlivyo sasa.

Na nyie CCM Taifa ( hasa Makao Makuu ) hebu anzeni Kuisuka upya hii Youth Wing yenu kwani imejaa Vijana Wapumbavu, Wanafiki, Katili, Wafitini, wapenda Majungu na wanaongojea tu Teuzi ila Vichwani mwao hawana Mikakati ya Kukusaidia Chama Kimaendeleo na Kiteknolojia kama ilivyo vya 'Youth Wings' za vyama vingine Vikubwa duniani ambapo 85% ya Watu ( Vijana ) walioko huko ni Think Tanks ( Rationals ) hasa.

Haya someni na huu Uzi wangu GENTAMYCINE hapa JamiiForums leo kisha mkimaliza nami nikalieni Vikao ili Mniteke sawa?

Ombi langu tu Kwenu mkikubaliana Kuniteka hakikisheni Kwanza hao Green Guards mtakaowatuma Kwangu wawe wana Akili Kubwa kisha waambieni kabla ya kuja Kwangu wawe wameshaaga Majumbani mwao na Kugawa Urithi kwa Watoto wao na wawaambie ikitokea Wamekufa wangependelea Wakazikwe wapi sawa?

Nawachana hivi ili mbadilike sawa?
Unamaanisha hawa Wauaji?
20220927_092436.jpg
 
Mwanya wa katiba mbovu na Madaraka ya kofia mbili yanaliangamiza Taifa langu TANZANIA!

Katiba Mpya haitoruhusu chama kuwa kikubwa kuliko nchi na watu wake!!

Na vikundi vya kihalifu vya vyama kama hivi vitakufa na watu wote watalindwa na Mamlaka ya ulinzi pekee!chama hakitoruhusiwa kuandaa walinzi WAO!!ulinzi ni jukumu la nchi na sio kikundi cha watu!!

Naipenda TANZANIA YANGU Mpya Baada ya katiba Mpya kupatikana!!

TUSUBIRI
Umesema ukweli hao woote wanakiburi cha rais wao kama.mwenyekiti wa chama. Wamajua wanamtumikia yeye.
 
Yalikuwepo even kabla ya naniliu + kupiga na kudhalilisha watu and so on and so forth !!
Kuna mtu alisimama hadharani akatamka kwamba kwa kuwa JPM hayupo hamtasikia tena kuuwawa, kutekana au kutesana bila sababu lakini juzi tu kuna gari likiwa na watu fulani huko mjini Lindi ambapo ni nyumbani kwao huyo jamaa walitaka kumteka mwenyekiti wa CCM baada ya kuwagomea mambo fulani ambay yako kinyume na maadili ya utumishi.

Aliyesimama hadharani kwamba utekaji, utesaki na kuuwana utakuwa umekoma ndie mwasisi halisi wa kundo hilo na huenda huwa wanafanya hivyo kimkakati wanapobaini mambo yao fulani yakwamishwa au kupindishwa na kuminya maslahi yake hivyo ndiey anatakiwa kuwajibika kwa sasa kwa matukio haya yote.
 
Duh !
 
Niliona alipost kwenye instagram yake akaweka had screen shot. na alitonywa na marafiki zake amabo wapo kwenye hilo Group. ndio maana Lissu, Wenje na Lema hawataki kurudi maana wanajua aliyekufa ni Magufuli ila wahuni alio waasisi bado wapo
yaani pimbi wewe ujiite muhuni? wewe ni kichaa, taahira au popoma kabisa
 
UVCCM kama kuna Kikundi ambacho Kitawachafua na Kimewachafua ni hiki cha Ulinzi wenu Kiitwacho Green Guards.

Nimesoma leo katika Moja ya Gazeti kuwa Watu wa UVCCM kupitia hiki Kikosi chenu kilichojaa Wapumbavu Watupu kiitwacho Green Guards kilikuwa kimepanga Kumteka na Kumdhuru Mtangazaji wa Wasafi FM Charles William kutokana na kile kinachosemekana ni Kukerwa na Ukosoaji wake wa Kimantiki Kwao.

Leo hii Mimi GENTAMYCINE nimepata Jibu la Maswali yangu mengi kuwa ni nani huko nyuma alikuwa Akiteka na hadi Kudhuru Watu hadi wale waliopotea mazima Kiuhai na tayari nimeshawajua hivyo kama mwana CCM Kiushabiki ( ila bado siyo Mwanachama ) napanga kuwaombea Laana mbaya, kali na takatifu kwa Mwenyezi Mungu ili iwe Fundisho.

Nyie UVCCM ni nani Tanzania hii na hapa duniani Msikosolewe? Mngekuwa na Akili mngeshukuru kwa Kukosolewa Kwenu huko kwani kunawasaidia na Kuwajenga zaidi Kiutendaji tofauti na ilivyo na mlivyo sasa.

Na nyie CCM Taifa ( hasa Makao Makuu ) hebu anzeni Kuisuka upya hii Youth Wing yenu kwani imejaa Vijana Wapumbavu, Wanafiki, Katili, Wafitini, wapenda Majungu na wanaongojea tu Teuzi ila Vichwani mwao hawana Mikakati ya Kukusaidia Chama Kimaendeleo na Kiteknolojia kama ilivyo vya 'Youth Wings' za vyama vingine Vikubwa duniani ambapo 85% ya Watu ( Vijana ) walioko huko ni Think Tanks ( Rationals ) hasa.

Haya someni na huu Uzi wangu GENTAMYCINE hapa JamiiForums leo kisha mkimaliza nami nikalieni Vikao ili Mniteke sawa?

Ombi langu tu Kwenu mkikubaliana Kuniteka hakikisheni Kwanza hao Green Guards mtakaowatuma Kwangu wawe wana Akili Kubwa kisha waambieni kabla ya kuja Kwangu wawe wameshaaga Majumbani mwao na Kugawa Urithi kwa Watoto wao na wawaambie ikitokea Wamekufa wangependelea Wakazikwe wapi sawa?

Nawachana hivi ili mbadilike sawa?
Taifa limejaa unafiki,chuki na kuchafuana sana hili.
Miaka kadhaa nyuma kabla ya kifo Cha Magufuli walituaminisha matukio ya Aina hii yanatekelezaa na Magufuli, Sasa Magufuli amelala mauti na matukio yapo na yalikuwepo pia mbona sisikii kelele za kumhusisha Samia na haya matukio?
 
Remnants za Mwendakuzimu Jiwe bado zipo sana
Mwendakuzimu ali set precedence ya ki Boya sana ambayo itachukua Muda sana kufutika.
Naombea Alshabaab waende kulipia Pale Chuttle alipozikwa
Acha upumbavu wewe tumia akili yako vizuri..uhalifu upo miaka yote, kwahiyo Magufuli anaagiza akiwa kaburini?
 
Niliona alipost kwenye instagram yake akaweka had screen shot. na alitonywa na marafiki zake amabo wapo kwenye hilo Group. ndio maana Lissu, Wenje na Lema hawataki kurudi maana wanajua aliyekufa ni Magufuli ila wahuni alio waasisi bado wapo
Pumbavu wewe usiejua kutumia akili yako sawa sawa.
 
Back
Top Bottom