Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,640
Kwa mahitaji ya kufungiwa mfumo wa kisasa unao jiendesha wenyewe katika mfumo wa kidigitali katika kumwagilia,kudhibiti joto,mvuke na hewa katika nyumba za kuoteshea mazao.
*Mfumo unawezesha shamba kujimwagilia lenyewe unyevu unyevu unapopungua ardhini.
*Kujaza maji katika hifadhi (water tanks) maji yanapo pungua.
*Kudhibiti kiwango cha mvuke katika chumba cha kuoteshea mazao.
*Kudhibiti kiwango cha joto katika chumba cha kuoteshea mazao.
*Kufunga na kufungua vipitisha hewa (air exchange ventilation fan)
*Kutambua uwepo wa jua au la.
Mfumo huu unaweza kufungwa katika green house ambazo zimesha jengwa na mpya.
Pia kwa mahitaji ya kuundiwa automatic mashine za kukausha mbogamboga,matunda na samaki karibu.
0629068815