Green Park Bus Terminal

Green Park Bus Terminal

Wakenya wamejenga vibanda vya chips
Tuwaache wajiliwaze mana hizi sindano tulizowapiga co za nchi hii ni unacceptable, zinaitwa Astrazenecca [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Again, ushamba ni mzigo sana.
Ndio maana mnasherekea vibanda vya chips.
Kwamba hii ni kibanda ya Chipsi [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
Screenshot_20210401-221736.jpg
 
Let be honest.
Mimi naamini wakenya ni watu smart zaidi kuliko watanzania katika mambo mengi, lakini katika hili la BRT hapana. Tanzania iko mbali sana, iko vizuri zaidi kwa BRT.
 
Kwenye usafiri wa umma mijini, Nairobi huwezi kuilinganisha na Dar hata chembe. Dar iko vizuri mnoo.
Kwa mfano, ni kosa la jinai kuona vipanya (hiace) vikiingia jijini Dar, vilifutwa miaka zaidi ya 15 huko nyuma. Lakini ukifika Nairobi ndio usafiri mkuu, vimejaa kama utitiri.

Kuhusu BRT jiji la Dar liko vizuri zaidi. Mtandao wake umejengwa vizuri na kutapakaa maeneo mengi. Na vituo vyake viko vizuri. Katika hili wakenya nawashauri waje kujifunza.
 
Hivi unafahamu kuwa stendi ya mabasi Ubungo ilishahamia Mbezi?

Hiyo picha uliyo post ni ya stendi ya mabasi Ubungo ambayo sasa hivi kunaendelea ujenzi wa mambo mengine. View attachment 1741529
Hata hivyo huwezi kufananisha na huu uchafu hapa, kaka Kenya ni uozo kaka wao wenyewe wanajua hilo sema wakiwa humu wanajipiga kifua tu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1030151554.jpg
 
Let be honest.
Mimi naamini wakenya ni watu smart zaidi kuliko watanzania katika mambo mengi, lakini katika hili la BRT hapana. Tanzania iko mbali sana, iko vizuri zaidi kwa BRT.
U smart kwenye nn? Kama wangekuwa smart wangekubali kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao, wangekubali wachache mfano kina Kenyatta wajichukulie karibu robo tatu ya ardhi yenye rutuba na kuwaacha majority ya Wakenya wakiwa hawana ardhi? unaongelea u smart au unachanganya kuongea broken na u smart, u smart upi unaongelea wewe?
 
Let be honest.
Mimi naamini wakenya ni watu smart zaidi kuliko watanzania katika mambo mengi, lakini katika hili la BRT hapana. Tanzania iko mbali sana, iko vizuri zaidi kwa BRT.
Ila hii sii BRT. Station zetu za BRT bado zinajengwa hadi na Parking za magari private za watu wanaotaka kuingia mjini kwa BRT. Hii station hapa ni ya Matatu na inaweza linganishwa na zenu za daladala. Nyie BRT yenu phase 1 ishamalizika inatumika, yetu bado inajengwa kwa hivo tusiwa na haraka ya kusema ya Tanzania ni bora maanake bado hujaona ya Kenya.
 
U smart kwenye nn? Kama wangekuwa smart wangekubali kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao, wangekubali wachache mfano kina Kenyatta wajichukulie karibu robo tatu ya ardhi yenye rutuba na kuwaacha majority ya Wakenya wakiwa hawana ardhi? unaongelea u smart au unachanganya kuongea broken na u smart, u smart upi unaongelea wewe?
Boss, relaaax. Makasiriko ya nini. Ukweli unauma eeh? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom