Green Park Bus Terminal

Green Park Bus Terminal

I told him, he thinks I'm trolling. If we don't demand the best from our leaders, we will always celebrate small gains for no apparent reason. This kind of a station had been done in the 50s by the British around Kencom, so 5 decades later it should be shameful.
I'm proud of other projects Uhunye is doing though.
We acha nyodo mzee baba, miaka hamsini ipi hyo..hivi ni kencom ile ile ninayoijua au ni ipi..
Sa zingine upo na ushabiki maandazi jomba
 
It'll have
1. A police station
2. A restaurant
3. A supermarket
4. A hospital
5. An AI system to track arrival and departure of vehicles
6. No touts allowed
7. No hawkers allowed
8. A garage
9. A petrol station
10. Special waiting area for the disabled

Kuna mpuuzi mmoja analeta ushabiki maandazi hapa, eti inakaa ya 50 years ago[emoji23][emoji23]
"Troll detected"
 
What is the difference...theta also means for commuters and public at large.
Hizo screens za advertisement ziko kwa ajili ya wasafiri wa BRT kivipi? Do they Show routes or depatutlre/arrival time? Wachane kulazimisha vitu maharani
 
Let be honest.
Mimi naamini wakenya ni watu smart zaidi kuliko watanzania katika mambo mengi, lakini katika hili la BRT hapana. Tanzania iko mbali sana, iko vizuri zaidi kwa BRT.
Huu uzi hauzungumzii BRT, ni uzi wa stendi ya magari jijini Nairobi. But Tanzanian's inferiority complex can't allow them to stop dragging the name brt here
 
Huu uzi hauzungumzii BRT, ni uzi wa stendi ya magari jijini Nairobi. But Tanzanian's inferiority complex can't allow them to stop dragging the name brt here
Kwahiyo hii ni stand ya baiskeli au sio
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90]
JamiiForums212364309.jpg
 
Hizo screens za advertisement ziko kwa ajili ya wasafiri wa BRT kivipi? Do they Show routes or depatutlre/arrival time? Wachane kulazimisha vitu maharani
Hizo screen zipo kwenye stations na ndani ya bus pia zinaonesha muda, kituo unachopaswa kushuka na kila kitu.
 
Kuna mpuuzi mmoja analeta ushabiki maandazi hapa, eti inakaa ya 50 years ago[emoji23][emoji23]
"Troll detected"
We unaonaje kwani [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji90][emoji90][emoji118]
Screenshot_20210401-221736.jpg
 
Hizo screen zipo kwenye stations na ndani ya bus pia zinaonesha muda, kituo unachopaswa kushuka na kila kitu.
Tofauti ni kwamba sisi tunaonyesha screens za kituo cha magari ya umma na unataka kulinganisha na kituo chenu cha brt. Ungefanya vema kama ungeleta zenu za vituo vya magari ndio uwe relevant. For now, ni kelele tu unapiga
 
Hii road ya hii kibanda ya Chipsi inakaa meandering[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji205][emoji90][emoji3545]
JamiiForums1703197920~2.jpg
 
Tofauti ni kwamba sisi tunaonyesha screens za kituo cha magari ya umma na unataka kulinganisha na kituo chenu cha brt. Ungefanya vema kama ungeleta zenu za vituo vya magari ndio uwe relevant. For now, ni kelele tu unapiga
Kwahiyo BRT co ya umma au ya kijiko [emoji1633][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wenzenu tuko phase 3, tunataka Tz iwe nchi ya mfano Afrika hii kwa kuwa na the best public transport.
 
Huu uzi inazungumzia BRT? Hebu soma mada ya uzi unazungumzia nini kisha ujijibu
Mm hapo nmeonesha terminal au umeshaanza kuogopa kwamba hizi terminal zetu za BRT ni untouchable na haziwezi kulinganishwa na kibanda ya Chipsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamani Watz basi tuwaache tu washatii kwamba tusilinganishe BRT na kibanda yoyote [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545]
 
Ukitaka kumpoteza mkenya we taja BRT basi atarukaa km mmasai [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Poleni Wakenya, cc tulishatangulia so pambaneni nanyi mfike hapa tulipo.
 
Kwahiyo hii ni stand ya baiskeli au sio
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90]View attachment 1742212
Stop forcing relevancy while you know how I relevant you are. Hiyo stand ni ya abiria, hakuna anayekataa I'll swali Ni je: iko na screens? That's the question you are trying so hard to avoid
 
Stop forcing relevancy while you know how I relevant you are. Hiyo stand ni ya abiria, hakuna anayekataa I'll swali Ni je: iko na screens? That's the question you are trying so hard to avoid
Kwahiyo tuendelee au sio, kwamba mm niendelee na BRT wewe uendelee na hiyo kibanda unaniruhusu?
 
Back
Top Bottom