Greenhouse ya bei nzuri

Greenhouse ya bei nzuri

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
421
Reaction score
92
Natafuta greenhouse ya bei nzuri. Naomba mwenye kujua wapi naweza kuipata anijuze. Nahitaje iwe complete system ikiwa na drip irrigation system yake. Size kuanzia 8mx15m.Ahsante.
 
Bei nzuri kwa maana gani? Umeshaulizia Sehem tofauti tofauti uakajua bei zao? Km uko DAR hebu nenda pale MWENGE COCACOLA ukawone jamaa wa BALTON mambo ya Bei utayajua hapo hapo!
 
Natafuta greenhouse ya bei nzuri. Naomba mwenye kujua wapi naweza kuipata anijuze. Nahitaje iwe complete system ikiwa na drip irrigation system yake. Size kuanzia 8mx15m.Ahsante.
Nilishapita Balton kufatilia hiyo makitu... Mfumo wa Bei rahisi kabisa si chini ya 6 mil!! ukihitaji mawasiliano nijuze nikurushie namba...!! Binafsi bado naafatilia namna ya kupata hii makitu kwa gharama ya chini zaidi...!! Kuna wadau humu JF wanafahamu...!!
 
Mutensa nina fahamu watoaji hiyo huduma kutoka Kenya kama unahitaji kwa umbali huo...
 
Last edited by a moderator:
Natafuta greenhouse ya bei nzuri. Naomba mwenye kujua wapi naweza kuipata anijuze. Nahitaje iwe complete system ikiwa na drip irrigation system yake. Size kuanzia 8mx15m.Ahsante.

Kwa Tanganyika wauzaji ni Balton Tanzania ltd DSM na Arusha, kwa kenya ni Amiran na bei ya chini kabisa ni milioni 7......hapa kuna njia mbili kama unataka unafuu wa bei MOJA- Nunua kifaa kimoja kimoja then u design mwenyewe au nenda Arusha kwenye mashamba ya maua UNUNUE ZILIZOKWISHATUMika

Na kama unataka kifaa kimoja kimoja mpaka uagize Kenya......kwa Tanganyika usijisumbue ukishakosa Arusha na DSM kwingine huwezi kupata..............nina contact na wakenya kama utazitaka useme ntakupa
 
Mkuu tupe details zaidi au naomba ni pm namba yako

Wadau...
Maelezo kutoka jamaa wa kenya haya hapa;
..........

We take this opportunity to thank you for expressing interest in becoming an Amiran Farmer.

We kindly invite you to visit any of Amiran’s Official Demonstration Units at Amiran Offices(Nairobi),

Nakuru, Mombasa, Kisii, Mwea, Malindi, Garissa Farmers Training Centre and ASK Nairobi show ground,

where we are growing a variety of crops.
The Amiran Farmers Kit is an all inclusive farming unit that includes the following integrated technologies;
1. The Farmers Greenhouse.
2. Drip irrigation system (to cover 1/8 of an acre).
3. Solid [Stackable] tank [920 Litres]
4. Farmer’s sprayer.
5. Seeds (Green house crop and open field).
6. Fertilizers (to cover for one season of crop).
7. Agro- Chemicals (to cover for one season of crop).
8. Nursery set (portable nursery set for greenhouse seedling germination).
9. Personal Protective Equipment (Overall, Catridged mask and Gloves).
10. Training.
11. Renewable Agronomic Support (Optional- Includes an Amiran Agronomist visiting your project the whole season).
The cost of the Amiran Farmers Kit is as per the table below;

[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]STANDARD [/TD]
[TD]KSH[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Complete Amiran farmers Kit - as above - (with 15m x 8m greenhouse & 500 Square meter Drip line)[/TD]
[TD] 186,000.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Greenhouse (8m x 15m) + Drip irrigation (for 500 Square Meters)[/TD]
[TD]145,000.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Amiran Technician to guide installation (Optional 15m x 8m greenhouse + Drip irrigation)[/TD]
[TD]10,000.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]EXPANDED [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Amiran farmers Kit (with 24m x 8m greenhouse & 750 Square meter Drip line)[/TD]
[TD] 260,000.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Greenhouse (8m x 24m) + Drip irrigation (for 500 Square meters)[/TD]
[TD] 196,000.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Amiran Technician to guide installation (Optional 24m x 8m greenhouse + Drip irrigation)[/TD]
[TD]15,000.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]OTHER SERVICES (OPTIONAL)[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Seasonal Agro-support service[/TD]
[TD] 14,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Soil & Water Analysis[/TD]
[TD] 4,500.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Plant Support System [8m x 15m][/TD]
[TD]29,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Plant Support System [8m x 24m][/TD]
[TD]32,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Insurance premium [to cover against fire, wind, hail damage, floods & uncontrollable diseases][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Insurance [Standard kit] per annum[/TD]
[TD]2,250.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Insurance [Expanded kit] per annum[/TD]
[TD]3,100.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]FIXED MODEL KIT- 8 BY 15M[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Fixed Model (Locking Profile) with PSS, Door & Balcony[/TD]
[TD]249,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Amiran Technician to Guide Installation(Optional)[/TD]
[TD]12,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]FIXED MODEL KIT – 8 BY 24 M[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Fixed Model (Locking Profile) With PSS, Door & Balcony[/TD]
[TD]340,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Amiran Technician to Guide Installation(Optional)[/TD]
[TD]18,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]DRIP IRRIGATION [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ONE acre Drip Irrigation System[/TD]
[TD]135,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ONE EIGHTH Acre Drip Irrigation System[/TD]
[TD]22,000.00[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa maelezo zaidi tembelea Welcome to Amiran Kenya Ltd
 
Natoa huduma ya Kukufungia Greenhouse ya bei nafuu kabisa. 8m by 18m with complete Drip irrigation system & 1000lt Tank plus Free Extension Service for 3month kwa TSHS.3,200,000/- ONLY. just call 0772668500
 
Natoa huduma ya Kukufungia Greenhouse ya bei nafuu kabisa. 8m by 18m with ycomplete Drip irrigation system & 1000lt Tank plus Free Extension Service for 3month kwa TSHS.3,200,000/- ONLY. just call 0772668500
Drip line za eka moja unauza bei gani bila tenki?
 
Back
Top Bottom