Greetings from Bole Airport Addis Ababa; "I Will be there in three hours' - Lissu

"Aking'aa tu, Farasi mweupe huyo katua, anapelekwa jela huko akatoe hela" in gwm voice.
 
Naona kelele tu, ila airport hakuna watu! Uoga mwingi, ila nyuma ya keyboard sasa
Kule Zanzibar watu walikuwepo kwa kilichoitwa kumpokea mwinyi mtoto? Kama jibu ni ndiyo kwa nini iwe nongwa kwa Mtanzania mwingine kupokelewa kwa mtindo ule ule mpaka vitisho na panic zote hizo?
 
Chadema tunaenda AirPort kwa Amani hatutaki fujo na hatuna nia ya kuanzisha fujo. Kama polisi wanataka kutuua sawa Ila sie tunampokea Lissu kwa amani ila kiushujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…