Naona kelele tu, ila airport hakuna watu! Uoga mwingi, ila nyuma ya keyboard sasa
Eti na wewe unaitwa baba
Mungu aliyeziumba mbingu na nchi na aliyekunusuru na mauti alinde safari yako Mheshimiwa Lissu.
Ndio maana hapa Airport imepaki karandinga ya magereza (Segerea) kumbe wanamsubiri muhalifu wao.
Yote yana akili kama ya yesu wao tu wa CCM,huwezi mtofautisha aliye comment na Bashite,na Lusinde na Mlinga. Wake zetu wanavumilia mengi sana.Eti na wewe unaitwa baba
Yaani kiingereza cha lissu waaaalai magafuri akikijaribu anajiuma ulimi. yaani ni vile viingereza mtu anaongea kama anakunywa maji ya baridi fulani hivi amaaazingBoarding Ethiopian Airlines flight ET 805 from Bole International Airport Addis Ababa to Dar Julius Kambarage Nyerere International Airport now. Tukutane Dar in slightly over three hours. - Tundu A. Lissu
View attachment 1518231
Kwa kweli hakuna mtu hata mmoja. Tundu anaweza kuamini kwamba kuna umati wa watu wanakuja kumpokea akashangaa kukutana na watu wawili na matokeo yake anaweza kupata changamoto ya kiafyaNaona kelele tu, ila airport hakuna watu! Uoga mwingi, ila nyuma ya keyboard sasa
Mwamba karibu nyumbaniBoarding Ethiopian Airlines flight ET 805 from Bole International Airport Addis Ababa to Dar Julius Kambarage Nyerere International Airport now. Tukutane Dar in slightly over three hours. - Tundu A. Lissu
View attachment 1518231
Hii ni ya mwezi wa saba, miaka miwili iliyopita kaka, si ya hivi karibuni!! [emoji4]Mwamba karibu nyumbani