Greetings

Greetings

Irungu jr

Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
13
Reaction score
11
Hello, JF mi mgeni napenda kujumuika nanyi nipo mbagala mbande dsm [emoji120][emoji120]
 
Karibu sana JF,

Angalizo
JF ina mchanganyiko wa watu mbalimbali wenye haiba mbalimbali Hivyo don’t loose yourself kupitia mada na comment mbalimbali haswa hizi za vijana kataa ndoa na kula tunda kimasihara, it’s not worth it.
 
Kataaa ndoa then?
 
Back
Top Bottom