mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,018
- 591
Kwhy ujinga wako ndo bora zaidi..Huyu naye ni walewale waliokunywa uji wa Mgongwa!!
Mwenye akili nzuri unaongeleaje madhira yanayowapata waarabu na ukaacha kuongelea mauaji ya kinyama yaliyofanywa na Hamas Oct 07,2023?
Najua hawezi kuongelea mauaji ya Oct 07,2023 maana itakuwa kama anajivua nguo mwenyewe. Na Wajinga kama hawa mara zote hawawezi kuongelea madhira waliyoyapata wayahudi Oct 07,2023 wanabwabwaja tu habari za waarabu kunyanyaswa bila kutaka chanzo ili kuwazuga wajinga na wapumbavu kama wewe!!!