Gridi ya Taifa ya Maji inalenga kuunganisha vyanzo vikuu vya maji nchini kupitia mtandao wa miundombinu ya usafirishaji wa maji kwa wingi

Gridi ya Taifa ya Maji inalenga kuunganisha vyanzo vikuu vya maji nchini kupitia mtandao wa miundombinu ya usafirishaji wa maji kwa wingi

Wizara ya Maji

Govt Institution
Joined
Oct 2, 2024
Posts
34
Reaction score
20
Mpango wa Serikali wa Gridi ya Taifa ya Maji ni mkakati mahsusi unaolenga kuunganisha vyanzo vikuu vya maji nchini kupitia mtandao wa miundombinu ya usafirishaji wa maji kwa wingi (bulk water transmission network) ili kuhakikisha upatikanaji wa maji wa uhakika, endelevu na wenye usawa kwa matumizi ya majumbani, viwanda, kilimo, mifugo, madini, uzalishaji wa nishati na uhifadhi wa mazingira.

Ni Suluhu na uhandisi mkubwa (macro engeneering) katika kukabiliana na changamoto za usalama wa maji nchini.

 
HEBU MJITAHIDI.....Maji yantiririka na kuishia baharini bure......yazungusheni huko mashambani na mitaani...
 
Ili siku moja bomba lipasuke nchi nzima ikose maji kwa wiki moja au zaidi? Au kutakuwa na backup plans?

Au haitokuwa kama ilivyo ya umeme?
 
Mpango wa Serikali wa Gridi ya Taifa ya Maji ni mkakati mahsusi unaolenga kuunganisha vyanzo vikuu vya maji nchini kupitia mtandao wa miundombinu ya usafirishaji wa maji kwa wingi (bulk water transmission network) ili kuhakikisha upatikanaji wa maji wa uhakika, endelevu na wenye usawa kwa matumizi ya majumbani, viwanda, kilimo, mifugo, madini, uzalishaji wa nishati na uhifadhi wa mazingira. Ni Suluhu na uhandisi mkubwa (macro engeneering) katika kukabiliana na changamoto za usalama wa maji nchini.



View: https://www.instagram.com/reel/Db47xmpNoOz/?igsi=anpicGl1Z3JmeTRh

Huu ni UPUMBAVU, hayo maji nani atayatumia kama mnateka wananchi? Mwambie Samia Suluhu kwamba Tunamtaka Humphrey Polepole haraka sana.
 
Back
Top Bottom