Mpango wa Serikali wa Gridi ya Taifa ya Maji ni mkakati mahsusi unaolenga kuunganisha vyanzo vikuu vya maji nchini kupitia mtandao wa miundombinu ya usafirishaji wa maji kwa wingi (
bulk water transmission network) ili kuhakikisha upatikanaji wa maji wa uhakika, endelevu na wenye usawa kwa matumizi ya majumbani, viwanda, kilimo, mifugo, madini, uzalishaji wa nishati na uhifadhi wa mazingira. Ni Suluhu na uhandisi mkubwa
(macro engeneering) katika kukabiliana na changamoto za usalama wa maji nchini.
View: https://www.instagram.com/reel/Db47xmpNoOz/?igsi=anpicGl1Z3JmeTRh