Habari wadau.
Mali tajwa hapo juu zinauzwa. Bado zipo katika hali ya upya maana zimetumika mara moja tu na baada ya mradi kukamilika hazihitajiki tena hivyo nataka kubadilisha walau nirudishe pesa kidogo zinisaidie kwenye mambo mengine.
Kwa mwenye uhitaji namkaribisha sana.
Grinder
Angle grinder aina ya MAKITA
Inchi 9
Watts 2200
GA9020
Mashine ya kuchomea
Aina ya Edon
ARC 630s
Vyote hapo juu vimekamilika ni viambata vyake vyote (accessories) .
Nauza vyote kwa pamoja kwa bei ya 750000/= Tu.
Hata kama wewe siyo fundi ushauri wangu unaweza kununua hizi mashine na kufungua ofisi yako kisha ukamkabidhi fundi akawa anakulipa, au kama una fundi muaminifu unaweza kumkodishia akawa anakulipa, kwa mfano siku moja kukodisha mashine zote hizi mbili kwa pamoja haiwezi kuwa chini ya shilingi 15000.
Karibuni.
Muhitaji naomba tuwasiliane