Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani kashaongea kuwa ni inch 9,na ukizoom unaona model no ambayo ni GA 9020 kazi kwako.Kiongozi vitu vya umeme (Electronics)vinahitaji utaalam kidogo kabla ya kuchangia
Ukisema Makita ni 350k; unatakiwa uweke na specification za hiyo Makita kwani makita ni jina tu kama mfano useme Simu ya Samsung (ujue kuna simu ya samsung ya shs 320,000 lakini pia zipo Simu za Samsung za hadi shs million 3; na hata kwa Edon ni hivyo hivyo
Yeye ameweka picha yenye model, hivyo unaweza kui google, ukajua specification zake. Wewe ungetoa spec au ungeambatanisha picha, tungeona
400,000 ipo mfuko wa shatiKaribuni mabosi
Unahitaji mashine ipi mkuu?400,000 ipo mfuko wa shati
Kuna 450,000 kama bado vipo tufanye biashara...Mali bado ipo. Karibuni
Mali ipo ila bei yako ipo chini sana .Kuna 450,000 kama bado vipo tufanye biashara...
Ukifika 500k PM yangu iko wazi kwa ajili ya biasharaMali ipo ila bei yako ipo chini sana .
Kwa mashine hizi na zilivyo katika hali yake bei haitokaa ifike huko ndugu yangu niwe mkweli na nisikupotezee muda wako wa kuendelea kusubiri.Ukifika 500k PM yangu iko wazi kwa ajili ya biashara
Mkuu kama hutajali punguza bei ufanye biashara hata kama wewe ulinunua ghali kuliko bei ya soko. Sijui kuhusu hiyo welding machine lakini ukinipa 350-380k nakupatia Makita Grinder kama hiyo hiyo mpya kabisa. Na ni makita org sio makita mt.Wadau mzigo upo na bei ndio kama hivyo imepoa sana.
Karibuni