Grok: Ndege aina ya Thrush Rockwell toleo la 2025 hadi kutua Tanzania ni Tsh 4.Bilion

Grok: Ndege aina ya Thrush Rockwell toleo la 2025 hadi kutua Tanzania ni Tsh 4.Bilion

Ww ni mtalam wa ndege au umedpwnload price jee ulitK ndrge liwe likibwa ili ujue value for money
Mimi siyo mtaalamu ndege bali wa biashara na logistics. Nakuomba wewe sasa utuwekee utaalamu ba bei
 
  • Thanks
Reactions: x x
Hizo ndege sasahivi si zinazalishwa hapo moro tu, tutanunua hapahapa tupunguze mzigo wa kodi na gharama za usafiri.
 
Hizo ndege sasahivi si zinazalishwa hapo moro tu, tutanunua hapahapa tupunguze mzigo wa kodi na gharama za usafiri.
Ni nani ana ushahidi wa uwezo kuruka wa hizo ndege za Morogoro?? Maana nina wasiwasi nazo sana
 
Tuhela twa mboga ndugu zangu watanzania. Tukiwa watu 10 kwenye mgao Kila mmoja ataondoka na 100 sasa 100 hata haitoshi kupaua nyumba yangu na kuagiza FENICHA
 
Back
Top Bottom