Grok: Ndege aina ya Thrush Rockwell toleo la 2025 hadi kutua Tanzania ni Tsh 4.Bilion

Ww ni mtalam wa ndege au umedpwnload price jee ulitK ndrge liwe likibwa ili ujue value for money
Mimi siyo mtaalamu ndege bali wa biashara na logistics. Nakuomba wewe sasa utuwekee utaalamu ba bei
 
Reactions: x x
Hizo ndege sasahivi si zinazalishwa hapo moro tu, tutanunua hapahapa tupunguze mzigo wa kodi na gharama za usafiri.
 
Hizo ndege sasahivi si zinazalishwa hapo moro tu, tutanunua hapahapa tupunguze mzigo wa kodi na gharama za usafiri.
Ni nani ana ushahidi wa uwezo kuruka wa hizo ndege za Morogoro?? Maana nina wasiwasi nazo sana
 
Tuhela twa mboga ndugu zangu watanzania. Tukiwa watu 10 kwenye mgao Kila mmoja ataondoka na 100 sasa 100 hata haitoshi kupaua nyumba yangu na kuagiza FENICHA
 
In the end grok imekwambia wasialana na TRA for furthet information
I think kuna more deep info

Although yestatizo bado liko pale pale, kuna ufisadi kwneye hili
Hiyo ndege ni ya Serikali, hivyo hailipiwi kodi TRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…