GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,123
- 2,271
Wakuu, naomba uzoefu wenu kuhusu Grok AI na Kling AI kwenye utengenezaji wa video.
Ninataka kutumia AI kutengeneza short wildlife/documentary videos za wanyama, hasa kwa ajili ya Facebook Reels, TikTok na YouTube Shorts.
Ningependa kujua kwa wale ambao mmezitumia:
Kwa mtu anayeanza leo, ungependekeza Grok au Kling? Na kwa nini?
Ningependa kusikia hasa kutoka kwa watu ambao wamezitumia zote mbili, siyo maoni ya kusikia tu. 🙏
Ninataka kutumia AI kutengeneza short wildlife/documentary videos za wanyama, hasa kwa ajili ya Facebook Reels, TikTok na YouTube Shorts.
Ningependa kujua kwa wale ambao mmezitumia:
- 🐆 Ipi ina video quality nzuri zaidi?
- 🎬 Ipi ina uwezo mzuri wa kutengeneza action scenes kama wanyama wakikimbia, kupigana au kuwinda?
- 🧠 Ipi inaelewa prompts vizuri zaidi?
- 👤 Ipi ina consistency nzuri ya character/animal kutoka scene moja kwenda nyingine?
- 💰 Kwa upande wa gharama na credits, ipi ina value nzuri zaidi?
- ⏱️ Ipi inatoa video nyingi zaidi kwa budget ndogo?
- 📱 Kwa video za 9:16 / Reels, ipi mnaiona inafaa zaidi?
- Kama una budget ya karibu TSh 30,000 kwa mwezi, ungechagua ipi?
Kwa mtu anayeanza leo, ungependekeza Grok au Kling? Na kwa nini?
Ningependa kusikia hasa kutoka kwa watu ambao wamezitumia zote mbili, siyo maoni ya kusikia tu. 🙏